Duplicate_90
JF-Expert Member
- Mar 29, 2020
- 272
- 308
Mtu akiwa na busha anaona wengine wote ni wagonjwa!Wala ndo kwanza amejipumzisha juu ya mawe pale Chamwino.
Anamsubiri huyu mgonjwa atangulie mbele kilomita 200 ndo yeye atoke Chamwino.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atatukana kila mtu. Hata huyo Bashiru na Mangula wajiangalie sana, anaweza kuwatukana hadharani kama alivyomtukana Gambo jukwaani Arusha kipindi kile cha hama hama. Mtu anayeweza kupambana na Lissu jukwaani ni Nape akisaidiwa na January background
CCM kupambana kwa hoja na Lissu hawataweza, watakachofanya ni kuangalia namna ya kumwengua kwenye mchakato kwa kutumia vyombo vyao yaani Tume ya uchaguzi mahakama..hii ndiyo the last option aliyonayo kwa sasa.!!
Watatumia mbinu gani labda?Usikute wanaandaa wasimamizi wawatangaze.Maajabu ya CCM Mpya tutayashuhudia Mwaka huu.Matokeo baada ya uchaguzi yatakuwa CCM WAMEIBA KURA ZETU !!
Ndo kauli zenu tuombe tu uzima safari hii ushindi itakaoupata CCM ni wa karne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije kushangaa kusikia Kaijage ni mjamzito kama atazinguaMatokeo baada ya uchaguzi yatakuwa CCM WAMEIBA KURA ZETU !!
Ndo kauli zenu tuombe tu uzima safari hii ushindi itakaoupata CCM ni wa karne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha akupanue! Maana ndio zake hizo kuwapanuaWala ndo kwanza amejipumzisha juu ya mawe pale Chamwino.
Anamsubiri huyu mgonjwa atangulie mbele kilomita 200 ndo yeye atoke Chamwino.
Sent using Jamii Forums mobile app
1015 Lowasa atakuepo kweliii?!?Hiyo nyomi haijaifikia ya Mrema 1995 na Lowasa 1015
I believe lisu atakuwa na tallying center ndani nje ya nchi.Lakini pia bado siamini kuwa lisu alikuja kugombea akitegemea atangazwe kirahisi na hii tume yetu ya uchafuzi, I beiieve there is back up plan ya either kuzuia wizi au kuhakikisha mwizi anatema ndoano,the Malawi like hata Kama matokeo yetu hayapingwi mahakamaniMatokeo baada ya uchaguzi yatakuwa CCM WAMEIBA KURA ZETU !!
Ndo kauli zenu tuombe tu uzima safari hii ushindi itakaoupata CCM ni wa karne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo mama yako anajua lakini kama umeenza hiyo tabia ya kumchungulia wakati ......... Ufahamu hilo.Kisha akupanue! Maana ndio zake hizo kuwapanua
Wewe umeisha toa mimba ngapi za wanaume mpaka sasa ?Usije kushangaa kusikia Kaijage ni mjamzito kama atazingua
Wanawachora tu, subirini zamu yao, muanze kusema wamenunuliwa.Magufuli huko alipo kavimba sana. Akija kutoka sijui atatoka na bomu gani. Kina Polepole wamepwaya. Nape na Kinana kidogo wanazijua siasa za nji hii.
Hakuna mbinu wewe hata leo weka box watu wapige kura hapo mtaani kwenu halafu pambanisha wawili tu Magu na Tundu. Uone itakuwaje.Watatumia mbinu gani labda?Usikute wanaandaa wasimamizi wawatangaze.Maajabu ya CCM Mpya tutayashuhudia Mwaka huu.
Kweli Tanzania wenye Akili tupo Wachache sana Yaani mkuu unataka kusema hata ule msemo wa shule ya msingi unaosema ukimuona tembo kainama ujue anatunga Sheria hujawahi kuuelewa tu maana yake mpaka sasahivi?Magufuli huko alipo kavimba sana. Akija kutoka sijui atatoka na bomu gani. Kina Polepole wamepwaya. Nape na Kinana kidogo wanazijua siasa za nji hii.
Lakini Mzee Kinana pale Dodoma aliwaambia hakuna uchaguzi mwepesi!kabla Lissu CCM walijua mambo hayatakuwa kamailivo leo.Kinana aliona ambalo CCM karibu wote hawakuliona
Hapo mbona Ni tarime, walkways hawana ujinga huo,Haijapata kutokea!
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe kubwa huku mji ukiwa umesimama kupisha ujio wake.
Lissu ambaye Yuko katika ziara ya kusaka wadhamini ameingia mjini Musoma kwa kishindo kikubwa.
Akiwasalimu maelfu kwa maaelfu waliojitokeza kumlaki Lissu ameendelea kumwaga sera kadhaa mojawapo inayovutia wananchi Ni ile ya kutoa Uhuru wa watu kuzungumza, vyama kufanya shughuli za kisiasa na vyombo vya Habari kuwa huru.Pia kufanyia marekebisho makubwa Idara ya Habari Maelezo, TCRA na TRA.
Wachambuzi wa kisiasa hapa Musoma wamesema haijawahi kutokea mwanasiasa akalakiwa na umati mkubwa hivyo katika mji huo tangia nchi ipate Uhuru
Lissu ameueleza umati huo kuwa kwa Sasa anatafuta tu wadhamini na kipindi Cha kampeni ndiyo ataeleza rasmi mustakabali wa nchi yetu .
#Niyeye2020
View attachment 1535143View attachment 1535144
View attachment 1535145