Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Atatukana kila mtu. Hata huyo Bashiru na Mangula wajiangalie sana, anaweza kuwatukana hadharani kama alivyomtukana Gambo jukwaani Arusha kipindi kile cha hama hama. Mtu anayeweza kupambana na Lissu jukwaani ni Nape akisaidiwa na January background

Huyo wa katuni za nguruwe na limozini? Tanzania haijawa fukara wa akili kubwa na vipaji maalumu kiasi cha kurudia matapishi yake kama mbwa.
 
CCM kupambana kwa hoja na Lissu hawataweza, watakachofanya ni kuangalia namna ya kumwengua kwenye mchakato kwa kutumia vyombo vyao yaani Tume ya uchaguzi mahakama..hii ndiyo the last option aliyonayo kwa sasa.!!

Huyu alikuwa akipiga picha njia yote tangu Dodoma mpaka Kahama. Sasa kulikoni kafika Musoma au aliruka kwa ungo kamera zikashindwa kunasa matukio njiani kuelekea musoma?
 
Rais wa mioyo na hisia anazidi kuchanja mbuga
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png
 
Matokeo baada ya uchaguzi yatakuwa CCM WAMEIBA KURA ZETU !!
Ndo kauli zenu tuombe tu uzima safari hii ushindi itakaoupata CCM ni wa karne.

Sent using Jamii Forums mobile app
I believe lisu atakuwa na tallying center ndani nje ya nchi.Lakini pia bado siamini kuwa lisu alikuja kugombea akitegemea atangazwe kirahisi na hii tume yetu ya uchafuzi, I beiieve there is back up plan ya either kuzuia wizi au kuhakikisha mwizi anatema ndoano,the Malawi like hata Kama matokeo yetu hayapingwi mahakamani
 
Hapa si ndo walimpokea Lowassa kwa kudeki barabara halafu wakampongeza kwa kumpa mbunge wa Ccm?
 
Magufuli huko alipo kavimba sana. Akija kutoka sijui atatoka na bomu gani. Kina Polepole wamepwaya. Nape na Kinana kidogo wanazijua siasa za nji hii.
Kweli Tanzania wenye Akili tupo Wachache sana Yaani mkuu unataka kusema hata ule msemo wa shule ya msingi unaosema ukimuona tembo kainama ujue anatunga Sheria hujawahi kuuelewa tu maana yake mpaka sasahivi?

Ungekuwa na Akili za ki intelijensia ungeanza kudadisi sababu ya ukimya wa CCM na lengo la ukimya huo na Wala siyo kufurahia ukimya wa chama kikubwa kama CCM.

Binafsi natamani kusikia chochote kutoka kwa CCM ili niweze kuunganisha doti Ila ukimya huu unanifanya niumize Sana kichwa juu ya Nini kilichopo nyuma ya huo ukimya na lengo lake Ni lipi na Nani ataathilika juu ya huo ukimya..

CCM Ni chama kongwe Sana kina nguri wengi wanaoijua siasa hivyo na mbinu kinazo nyingi, zote Safi na chafu hivyo tuweni makini Sana na ukimya huo na Wala tusiushaingilie, tutakuja kulia na kusaga meno baadae.

Mwisho; kuishi na mtu mkimya Ni hatari zaidi kuliko kuishi na mtu muongeaji.
 
Lakini Mzee Kinana pale Dodoma aliwaambia hakuna uchaguzi mwepesi!kabla Lissu CCM walijua mambo hayatakuwa kamailivo leo.Kinana aliona ambalo CCM karibu wote hawakuliona

..watawala walidhani kwamba TL hatarudi.

..pia kuna waliomshauri asubiri msiba wa Mkapa upite ndipo arudi.

..ilikuwa akili kubwa kwa TL kurejea wakati wa msiba ule.

..angesubiri msiba upite watawala wangeweza kumfanyia fujo.
 
Haijapata kutokea!

Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe kubwa huku mji ukiwa umesimama kupisha ujio wake.

Lissu ambaye Yuko katika ziara ya kusaka wadhamini ameingia mjini Musoma kwa kishindo kikubwa.

Akiwasalimu maelfu kwa maaelfu waliojitokeza kumlaki Lissu ameendelea kumwaga sera kadhaa mojawapo inayovutia wananchi Ni ile ya kutoa Uhuru wa watu kuzungumza, vyama kufanya shughuli za kisiasa na vyombo vya Habari kuwa huru.Pia kufanyia marekebisho makubwa Idara ya Habari Maelezo, TCRA na TRA.

Wachambuzi wa kisiasa hapa Musoma wamesema haijawahi kutokea mwanasiasa akalakiwa na umati mkubwa hivyo katika mji huo tangia nchi ipate Uhuru

Lissu ameueleza umati huo kuwa kwa Sasa anatafuta tu wadhamini na kipindi Cha kampeni ndiyo ataeleza rasmi mustakabali wa nchi yetu .

#Niyeye2020
View attachment 1535143View attachment 1535144
View attachment 1535145
Hapo mbona Ni tarime, walkways hawana ujinga huo,
 
Back
Top Bottom