Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

Sure ukimsoma hata gesture zake za mazungumzo..
Na mpenda showoff
Ndivyo watu wa tanga walivyo… wale wa tanga mjini, makabila kama wagunya, wazigua, wabondei na wenye uarabu na usomali. Maneno maneno, umbea, ushari, fitna, unafki ndo kwao wanaume wa kitanga.

Wanawake zao wanajulikana bila hata kuwatolea maelezo. Wasambaa wanajulikana wao ni washamba, wabaguzi, wakabila na wambea, bila kusahau roho mbaya ndo kwao.
 
Ki
Huyu dogo ndani mwake kuna viashiria vya wizi
Kila nikisoma maelezo ya uyu dogo siamini kama alikuwa anaonewa

Inaonesha dogo ni mkwapuaji mzuri sana
Ila alitegwa na akategeka

.*Jamaa alichokosea kutumia nguvu kupita kiasi kwa dogo kama uyu

.*Halafu pia kutumia sheria mkononi
 
Dogo anaonekana janja janja sana japo kitendo alichofanya Mwakinyo kesi anayo ya kujibu.
 
Watu hawaelewi kuwa serikali na mwanamke wako sawa sawa Wana Sheria Ila huzivunja mbele ya strong/value men. Yaani haraka mno hakuna cha Nina mchumba ama mme wangu Wala hakuna kuliwa mpaka ndoa ,yaani ni fasta.
Wenye uwezo mkubwa kifikra ndo watakuelewa.
 
Kiukweli kwa hayo maelezo dogo naye ni kama mwizi mwizi hivi japo kitendo alichofanyiwa ni kibaya sana.
Itakuwa Mwakinyo anaibiwa na ikabidi ategeshe nazi. Lakini kwa nini asitegeshe nazi ndani ya fensi yake au nyumba haina fensi. Huwezi kutegesha barabarani halafu umvutie mwizi nyumbani!
 
Saa 11 alfajiri alikuwa anatokea wapi ?
Tufanye alikuwa anadharula ya kutoka, Ok. Mwenye dharula yake anaanzaje kuokota nazi ? Na siku zote nazi sio embe kwamba zitaanguka zenyewe mtini.
Kilichonichefua zaidi ni kuweka NAZI kwenye shati. Pumbavu kabisa.


Ila alichofanya champion boy ni makosa.
 
Watu wamesikiliza upande mmoja basi washa judge hii ndo nchi yangu bwana
 
Kosa la Mwakinyo hapa ni kujichukulia tu sheria mkononi. Ila huyu dogo ni mwizi/kibaka mzoefu. Na sasa Mwakinyo atalazimika kumlipa fidia kibaka/mwizi wake, na pia kuwapoza "wazee" ili mambo yakae sawa.
 
Mbwa wakali wakushambulie zaidi ya saa moja uwe hai au usiwe wa kupelekwa ICU labda walikua ni mbwa koko
Hao hao mbwa koko umejiuliza ni kwa namna gani huyo kijana anasikia maumivu hapo?muda anaopoteza hospital gharama kubaki na makovu kama mwizi etc!!!
 
Huyu dogo ndani mwake kuna viashiria vya wizi
Hata mimi nimeliona hilo. Ni sawa na wale waokota makopo. Itakuwa alishapigwa matukio ya wizi sana hivyo akamtega mwizi wake. Japo hajafanya sahihi lakini dogo naye ana viashiria vya ukibaka.
 
Duh!...huenda kuna sababu nyingine ila dogo hajaisema
 
Huyu Mwakinyo nae kmmkee
 
Mbwa wakali wakushambulie zaidi ya saa moja uwe hai au usiwe wa kupelekwa ICU labda walikua ni mbwa koko
Mkuu kitu ambacho waafrika hatujui ni mda
Yaani nimeyasikia na kuona mengi matukio tofauti
Unakuta mtu anakuambia eti flani kazimia masaa
Unajiuliza huyo alikufa masaa au alizimia

Madokta wanakutana na haya kila leo
Anaona akisema dakika 10 anaona ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…