Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

Kwahiyo dogo kweli ni mwizi , nazi zimepangwa kwanini uokote?
Kwa mwonekano wa dogo kuna uwezekano mkubwa kuwa ni mwizi ila haitoi uhalali wa Mwakinyo kufanya alichofanya. Huyu bondia wa kimataifa hajui kuwa tuko enzi za digitally kwamba alichofanya Tanga kinajulikana hadi New York muda huohuo?
Hata kama ni Mwizi je Mwakinyo alistahili kufanya hayo aliyoyafanya ikiwa alifanikiwa kumdhibiti? Kwanini asimpeleke polisi.

Wananchi wanasema siyo tukio la kwanza Mwakinyo kufanya hivyo huyo ni mtu wa nne hapo mtaani yupo aliewahi kumchoma na pasi je ni sawa?

Binafsi naona mwakinyo kafeli kuishi na jamii yake, mtaa mzima wazee, wanawake , vijana kukukataa ni kupoteza, inaonekana haishi kwa wema na majirani zake, hao ndo walitakiwa kuwa mashabiki zake wa kwanza ila katengeneza nao uadui kwa status yake ku attempt murder kisa nazi ni mambo yasiyoingia akilini, ni hulka tu ya ukorofi ndo ina influence hayo matukio
 
Basi atakuwa na tatizo la afya ya akili
 
Dogo aliyakanyaga(mwizi) na mwakinyo Naye kayakanyaga(kajichukulia Sheria mkononi)
 
Duuh mkuu wamekufanya Nini watu watanga,wamekutombea demu Nini .mbona umegenerelize mambo mabaya mabaya tu.
 
''....wakaniuliza nazi nimetoa wapi? nikajibu nimeziokota,...''
 
Vipi kuhusu wadigo na wanguu?
 
Huyu dogo ndani mwake kuna viashiria vya wizi
HAIJALISHI! Tuache kujaribu ku-justify ushenzi! Mwakinyo alikuwa na uwezo wa 99% wa kumdhibiti huyo Dogo na kumfikisha kwenye mamlaka.
 
Huyu dogo mwakinyo ana ka upumbavu na majivuno flani hivi.Halafu ni sadist sana
Ni chuki tu dhidi ya mwakinyo huyo dogo kaingia kwenye fensi ya watu usiku na obvious usiku umbwa huwa wamefunguliwa
 
HAIJALISHI! Tuache kujaribu ku-justify ushenzi! Mwakinyo alikuwa na uwezo wa 99% wa kumdhibiti huyo Dogo na kumfikisha kwenye mamlaka.
Kwa hapa Dar mwizi hata akidhibitiwa Kwa asilimia 101 kinachofuta ni kuwa dogo ashukuru Yuko hai
 
Mwakinyo kufungwa ni ngumu ila tayari ameshachafuka. Ingekuwa Marekani ndo ingekuwa mwisho wake.
Kwa kosa gani? Kwa marekani na South Africa mtu akiingia kwenye eneo lako ukimpiga bomba huna kosa huyo dogo ashukuru busara tu za mwakinyo
 
Watu wanapenda sana kuhalalisha ushenzi kwa sababu alichofanya Mwakinyo hakiwezi kuwa justfied kwa sababu yoyote.
 
Hivi Tanzania Kuna kabila lisilo na roho mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…