Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Issue sio mfumuko wa bei bali serikali inachukua hatua gan kuuukabili huo mfumuko? Serikali ya Tz haijafanya chochote ukilinganisha na nchi zingine,Zitaje nchi jirani ambazo hazina mfumuko wa bei
Alizeti mafuta yamepanda kwetu je tunayatoa wapi????Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile.
Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala ambalo limejitokeza kwa matatizo ya kiulimwengu ambayo yapo na hasa vita ya nchi hizi mbili kati ya Ukraine na Urusi.
Tutegemee mengi magumu yatakuja, kikubwa ni kumuomba Mwenyezi Mungu atunusuru na adha hii, amalize vita hii na dunia na nchi yetu irudi katika hali ya kawaida.
Mimi hivi karibuni nilikuwa Ufaransa, mkate sasa hivi huruhusiwi kununua kama zamani, mwisho ni mikate miwili, mkate umepanda kutoka euro moja sasa unauzwa euro nne, mafuta ya kupikia kutoka euro 2 mpaka 8, petroli euro 1.6 mpaka 7, hiyo ni Ulaya.
View attachment 2182755
Halaf hili huwa liongo kama Jiwe au Kassim Majaliwa, Ukute lilikuwa Madagascar hapa linakuja kudai lilikuwa UfaransaMussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile.
Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala ambalo limejitokeza kwa matatizo ya kiulimwengu ambayo yapo na hasa vita ya nchi hizi mbili kati ya Ukraine na Urusi.
Tutegemee mengi magumu yatakuja, kikubwa ni kumuomba Mwenyezi Mungu atunusuru na adha hii, amalize vita hii na dunia na nchi yetu irudi katika hali ya kawaida.
Mimi hivi karibuni nilikuwa Ufaransa, mkate sasa hivi huruhusiwi kununua kama zamani, mwisho ni mikate miwili, mkate umepanda kutoka euro moja sasa unauzwa euro nne, mafuta ya kupikia kutoka euro 2 mpaka 8, petroli euro 1.6 mpaka 7, hiyo ni Ulaya.
View attachment 2182755
Ni kweli na je mishahara ya ulaya ikoje kama sisi huku?Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile.
Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala ambalo limejitokeza kwa matatizo ya kiulimwengu ambayo yapo na hasa vita ya nchi hizi mbili kati ya Ukraine na Urusi.
Tutegemee mengi magumu yatakuja, kikubwa ni kumuomba Mwenyezi Mungu atunusuru na adha hii, amalize vita hii na dunia na nchi yetu irudi katika hali ya kawaida.
Mimi hivi karibuni nilikuwa Ufaransa, mkate sasa hivi huruhusiwi kununua kama zamani, mwisho ni mikate miwili, mkate umepanda kutoka euro moja sasa unauzwa euro nne, mafuta ya kupikia kutoka euro 2 mpaka 8, petroli euro 1.6 mpaka 7, hiyo ni Ulaya.
View attachment 2182755
Huyo ni f...a...l....a na lofa tu kwa sababu ananufaika ndo maana anasema hivoKabla hata ya vita bidhaa nchii hii zilikuwa zikipanda kila kukicha,hebu tuwe serious na maisha ya watu.
Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile.
Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala ambalo limejitokeza kwa matatizo ya kiulimwengu ambayo yapo na hasa vita ya nchi hizi mbili kati ya Ukraine na Urusi.
Tutegemee mengi magumu yatakuja, kikubwa ni kumuomba Mwenyezi Mungu atunusuru na adha hii, amalize vita hii na dunia na nchi yetu irudi katika hali ya kawaida.
Mimi hivi karibuni nilikuwa Ufaransa, mkate sasa hivi huruhusiwi kununua kama zamani, mwisho ni mikate miwili, mkate umepanda kutoka euro moja sasa unauzwa euro nne, mafuta ya kupikia kutoka euro 2 mpaka 8, petroli euro 1.6 mpaka 7, hiyo ni Ulaya.
View attachment 2182755
Tumeipenda wenyewe,ngwa ngwa,chaguo letu wenyewe,ngwa ngwa!🤣🤣🤣🤣Hatunywi sumu hatujinyongiiii, ccm mbele kwa mbeleee
Halaf hili huwa liongo kama Jiwe au Kassim Majaliwa, Ukute lilikuwa Madagascar hapa linakuja kudai lilikuwa Ufaransa
Hawa watu wameshatuona sisi wajinga sana, wameshiba hela wanaongea tu wanavyotaka, eti tutegemee magumu, sasa serikali maana yake nini?
Hapa ndo walifanya kituko....ile pesa muda huu ndo ingesaidia kwenye mfumuko huu wa bei..Mpumbavu huyu walipewa pesa ya kupunguza madhila ya coronavirus wakajengea madarasa, sijui waliwaza nini. Sasa wanatupa story wakati walitwambia tozo za simu watajengea madarasa sijui wanawaza nini wanatuona hamnazo
USSR
Alietawala Taifa hili tokea uhuru na kulifanya kuwa masikini sana ndiye anaepaswa kulaumiwa kwa hili.hiyo pesa ya ruzuku itatoka wapi!?
Vibaraghashia wamejazana mtajuta sana mwaka huu
USSR
Ussr
Ilitakiwa ipunguze baadhi ya tariffs zilizoongezeka kwenye bidhaaHapa ndo walifanya kituko....ile pesa muda huu ndo ingesaidia kwenye mfumuko huu wa bei..
Hao ndio vigogo wa dunia hii sio wale wa Yemen syria na mogadishuunataka wanaojichamba na tolletpaper ndio wajazane?