Mussa Zungu: Tutegemee mengi magumu yatakuja. Asema kupanda kwa bei hakujatengenezwa na Serikali

Sisi tushakuwa wa hivyo tu hakuna lolote la maana kila siku visingizio haviishi,mara Waanze kufananisha Mambo na nchi nyingine.
 
Hawa watu wameshatuona sisi wajinga sana, wameshiba hela wanaongea tu wanavyotaka, eti tutegemee magumu, sasa serikali maana yake nini?
Nchi nyingine zinasaidia wananchi wake kwa kupunguza kodi kwenye hizo bidhaa huyu mzee anasema magumu yanakuja kwa hiyo tuhame nchi??
Ovyo kabsaa toa solution wewe mzee tufanye nn??
 
Hoja kuu hapa siyo masikini sana vs masikini kidogo bali hoja kuu hapa ni kwamba anaebeba lawama kwa Taifa kuwa masikini hadi kushindwa kutoa ruzuku kipindi hiki cha mdhororo wa uchumi ni CCM.
Kule nchi tajiri nchi ilitajirishwa na wananchi,akina Ford na magari yao ndiyo yaliyoijenga America,wewe na babu yako mmeifanyia nini Tanzania!?...umethubutu walau Kama don king kwenye ndondi!!?...au unajitahidi kuikosesha serikali mapato kwa kukwepa Kodi!?
 
Hiii nchi mungu atufanyie wepesi, maana viongozi wetu karibia asilimia 98.5 hawajui financial na mathematics hata kidogo

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
MI naona tatizo ni tabia ya uongo uongo ya viongozi wa Tanzania. Walizoeshwa propaganda enzi za ujamaa mpaka leo kila mtu anataka kuongoza kwa design ile ile ya Nyerere.
 
Hawa ndio aina ya watu wanaoiletea shida Tanzania kwa kudhani vijana wa leo ni wapuuzi kama ilivyokuwa enzi zao.

Watanzania hawa wa leo wanao trade currency na shares kwenye masoko ya dunia. Kweli washindwe ku google vitu vidogo kama ivyo.

Halafu hao wafaransa anawajua anawasikia yaani tozo kidogo au mabadiliko kidogo ya bei za bidhaa, pension plan zao na chochote kinachoathiri maisha yao wananchi wanatinga barabarani.

Hakuna nchi duniani inayoongoza kwa kufanya maandamano kama ufaransa, hakuna nchi serikali yao ina subsidise sector nyingi kama ufaransa kwa kuogopa wananchi; leo bidhaa zipande ivyo wakae kimya hasa mkate ambao wanaula asubuhi mchana na jioni.

Hawa watu ni shida
 
Kazi ya viongozi ni nini, tatizo wanakimbilia kugombea wajaze matumbo yao badala ya kufikiria namna ya kutatua matatizo
 
Mheshimiwa pelekeni hoja ya kufuta ruzuku na marupurupu kwa viongozi wote muwanusuru wananchi kuwahudumia. Mishahara yenu ni mikubwa haihitaji mlipiwe kila kitu tujifunze kujitegemea kwa kutumia mishahara. JARIBUNI KUISHI MAISHA YA UHALISIA YA WANANCHI WENU. Tuache kudanganyana kwa siasa za nchi nyingine, je Ufaransa raisi anakirimiwa kama hapa kwetu?
 
Hawa viongozi wetu wananishangaza sana wanatumia nguvu kubwa kuomba uongozi cha ajabu wakishaupata uongozi au mamlaka uwezo wa kutatua shida au changamoto hawana
 
Mpumbavu huyu walipewa pesa ya kupunguza madhila ya coronavirus wakajengea madarasa, sijui waliwaza nini. Sasa wanatupa story wakati walitwambia tozo za simu watajengea madarasa sijui wanawaza nini wanatuona hamnazo

USSR
Nawewe tena unainanga serikali !!!
 
Bado naona kende hazijaminywa vizuri... Endeleeni kuziminya mpk watu akili ziwakae
 
Kwasasa si haki kuilaumu serikali kwa hali inayoendelea maana ni external factor, japokuwa nayo serikali ina wajibu itafute namna ya kuwapa wananchi wake ahuheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ