Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Kipi hiko?! Hebu nikirudi geto nikitafute.Yan wazungu mambo yao wanayajua wenyewe[emoji16][emoji16]hahahaa kile kiliniumbua sema subwoofer ipo karibu, kuna scene jamaa wanampima tezi dume wakamtia Dole gumba [emoji106] ulipaona [emoji23][emoji38]
Nazani ni scene ya mwanzo mwanzo movie inapoanza tuKipi hiko?! Hebu nikirudi geto nikitafute.Yan wazungu mambo yao wanayajua wenyewe[emoji16][emoji16]
😁😁😁😁😁 yaani nilijipinda kutafuta black adam kwa high quality nikakuta inazidowa na deadpool 2Kipi hiko?! Hebu nikirudi geto nikitafute.Yan wazungu mambo yao wanayajua wenyewe[emoji16][emoji16]
Movie kama nina mashaka nayo nadownload ile ya quality ndogo haitozidi 300mb hizo mb hazitaniuma sana[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani nilijipinda kutafuta black adam kwa high quality nikakuta inazidowa na deadpool 2
Hebu nikaicheki tena, bora ile kuliko black adam[emoji28]Nazani ni scene ya mwanzo mwanzo movie inapoanza tu
Hiyo bado mpaka march 2023Wakuu nasikia Rush Hour 4 imetoka??[emoji15][emoji15]
[emoji28][emoji28]noma apo nmepiga kwanza stop nataka nikipata muda niicheck review zakeInauma sana unashusha GB nzima afu movie yenyewe unakuta oya oya[emoji16][emoji16]
Polar ni mziki mnene ladha za kina johnwick najiuliza ndie aliyecheza muvi ya no body? NtYgaHyo Polar naona mnaitajataja sana imebidi nipause kwanza Emancipation[emoji41][emoji41]View attachment 2446744
Nimeiweka pending weekend ndo nakuwa na muda ntaicheckPolar ni mziki mnene ladha za kina johnwick najiuliza ndie aliyecheza muvi ya no body? NtYga
Polar si ndio hiyo mwishoni kuna mzee kapigwa pistol akafa ila bado mjegeje umesimama[emoji23][emoji23] Muvi ina mabo ya hovyo sana hiihahahaa kile kiliniumbua sema subwoofer ipo karibu, kuna scene jamaa wanampima tezi dume wakamtia Dole gumba [emoji106] ulipaona [emoji23][emoji38]
Mzee alitandika viagra kwanza ghafla akashambiliwa mjegeje ukiwa bado umesimamaPolar si ndio hiyo mwishoni kuna mzee kapigwa pistol akafa ila bado mjegeje umesimama[emoji23][emoji23] Muvi ina mabo ya hovyo sana hii
Ila inakosha sana
Duh wakuu mnajiungaga mabando gani?Hyo Polar naona mnaitajataja sana imebidi nipause kwanza Emancipation[emoji41][emoji41]View attachment 2446744
[emoji23][emoji23]Ufisadi tu Mzee MakambaDuh wakuu mnajiungaga mabando gani?
hiyo RIDER'S OF JUSTICE ni nzuri Jamaa Yupo kambini anapata taarifa za msiba wa mke wake kafariki kwa kiripuzi kisichoeleweka kwenye train anakuja kutafta ukweli jamaa si mtu wa maneno mengi mijegeje ipo pia. sema kuna scene moja ilinichekesha mwanae karudi home toka matembezini na boyfriend ake mshua alikuwa keshamtafta sana hamuoni afu ukipigia wanasakwa na wahuni kwenye kumfokea alikuwa wapi Boyfriend kiherehere ety unamfokea hivyo kama nani [emoji23][emoji38] Dogo alitiwa kofi la ujazo mpaka chini akatoka nduki kama za finishing ya Olympic [emoji23].hapana, huyu jamaa yupo kwenye movies nyingine kama The Hunt na Rider's of Justice pia Hannibal
Ndio hii kabla sijafanya maamuzi?hiyo RIDER'S OF JUSTICE ni nzuri Jamaa Yupo kambini anapata taarifa za msiba wa mke wake kafariki kwa kiripuzi kisichoeleweka kwenye train anakuja kutafta ukweli jamaa si mtu wa maneno mengi mijegeje ipo pia. sema kuna scene moja ilinichekesha mwanae karudi home toka matembezini na boyfriend ake mshua alikuwa keshamtafta sana hamuoni afu ukipigia wanasakwa na wahuni kwenye kumfokea alikuwa wapi Boyfriend kiherehere ety unamfokea hivyo kama nani [emoji23][emoji38] Dogo alitiwa kofi la ujazo mpaka chini akatoka nduki kama za finishing ya Olympic [emoji23].
hakika mkuu sema mikono hakunaNdio hii kabla sijafanya maamuzi?View attachment 2448134