Must see Movies

Nimemaliza kuishusha Extraction 2, ambae ameshaitazama, umeionaje ikilinganishwa na ile ya kwanza?

Nitaiangalia usiku nikitulia.
 
Huyu mtoto kafit vizuri sana kwenye movies za Extraction.

Yule dogo aliyepigwa risasa kabla wakati anaelekea kupanda chopper (anajiita NAZ), sina uhakika kama alikufa au yupo hai maana mara ya mwisho kaonyeshwa akiwa kitandani.

Ngoja tusubirie Extraction 03
 
Kwakweli sina deni na mwaka 2023 tumeona vyuma vikali vimetolewa kuanzia wick 4 fast x na sasa hii extraction 2 imekuja kuua kabisa.

Mimi haka kadada kamenivutia sana kange dedi ningesikitika sana.

Kwakweli sina deni na mwaka 2023 tumeona vyuma vikali vimetolewa kuanzia wick 4 fast x na sasa hii extraction 2 imekuja kuua kabisa.

Mimi haka kadada kamenivutia sana kange dedi ningesikitika sana.
View attachment 2660428
View attachment 2660430

Hapa kwenye EXTRACTION watapiga pesa nyingi sana, hapa sijui itawachukua miaka mingapi kutoa ya tatu.
 
Hapa kwenye EXTRACTION watapiga pesa nyingi sana, hapa sijui itawachukua miaka mingapi kutoa ya tatu.
Nadhani itakuwa soon tu. Ile ya kwanza naona hawakuwa na wazo la kuiendeleza walipo ona mwitikio ikabidi waifufue
 
Nadhani itakuwa soon tu. Ile ya kwanza naona hawakuwa na wazo la kuiendeleza walipo ona mwitikio ikabidi waifufue
Yani hawa jamaa kwa mfumo wa story waliouchagua (missions /extraction) , wanauwezo wa kutoa hata movies 10+ maana ni kitendo cha kutunga story ya mission mpya kila tolea, haina mambo ya kuendeleza wahisika usipokuwa yule manzi( Nik) na maina character mwenyewe (Tyler)

Watapiga sana hela.
 
Ila yule dogo aliyechomesha location ingekuwa ktk maisha ya uhalisia angekatwa vibao vya nguvu 😁😁😁
Sema ilibidi iwe vile ili muvi iendelee😀
 
Ila yule dogo aliyechomesha location ingekuwa ktk maisha ya uhalisia angekatwa vibao vya nguvu 😁😁😁
Sema ilibidi iwe vile ili muvi iendelee😀
Yule dogo alinikera sana, mission imeshisha muda wote anamuulizia baba yake wakati muda sio mrefu ametoka kushuhudia mama yake anapigwa na huyo mzee.

Katika hali halisi, yule dogo angeachwa tu.
 
Fast x nimeona ni movie laini sana isiyo na uhalisia wala chochote zaidi ya magari
Yaani imekaa Kama action comedy yaaani haiwezekani mpaka mwisho jambazi kuu asife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…