Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 2,096
- 5,211
Nipe moja unayoikubali wewe.Hii ni ya kawaida sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe moja unayoikubali wewe.Hii ni ya kawaida sana mkuu.
kacheki grudge 1-4Nipe moja unayoikubali wewe.
Umetisha sana.kacheki grudge 1-4
Mbona kama imekaa kiromantiki nitaiweza kweli?FAKE PROFILE
Movie ngumu sana ileTenet na ujanja wangu wote sikuilewa aisee
Do not hesitateHivi mlioishusha KANDAHAR ya Gerald mnashaurije, ni chuma kwelikweli au ndo hakuna maajabu? Nataka niupakue hapa
Kwakweli sina deni na mwaka 2023 tumeona vyuma vikali vimetolewa kuanzia wick 4 fast x na sasa hii extraction 2 imekuja kuua kabisa.Huyu mtoto kafit vizuri sana kwenye movies za Extraction.View attachment 2660417
Yule dogo aliyepigwa risasa kabla wakati anaelekea kupanda chopper (anajiita NAZ), sina uhakika kama alikufa au yupo hai maana mara ya mwisho kaonyeshwa akiwa kitandani.
Ngoja tusubirie Extraction 03
Kwa mwaka huu sijaona mashine ya maana kama hii wakuu.. [emoji91][emoji91][emoji91]Kwakweli sina deni na mwaka 2023 tumeona vyuma vikali vimetolewa kuanzia wick 4 fast x na sasa hii extraction 2 imekuja kuua kabisa.
Mimi haka kadada kamenivutia sana kange dedi ningesikitika sana.
View attachment 2660428
View attachment 2660430
Kwakweli sina deni na mwaka 2023 tumeona vyuma vikali vimetolewa kuanzia wick 4 fast x na sasa hii extraction 2 imekuja kuua kabisa.
Mimi haka kadada kamenivutia sana kange dedi ningesikitika sana.
View attachment 2660428
View attachment 2660430
Nadhani itakuwa soon tu. Ile ya kwanza naona hawakuwa na wazo la kuiendeleza walipo ona mwitikio ikabidi waifufueHapa kwenye EXTRACTION watapiga pesa nyingi sana, hapa sijui itawachukua miaka mingapi kutoa ya tatu.
Yani hawa jamaa kwa mfumo wa story waliouchagua (missions /extraction) , wanauwezo wa kutoa hata movies 10+ maana ni kitendo cha kutunga story ya mission mpya kila tolea, haina mambo ya kuendeleza wahisika usipokuwa yule manzi( Nik) na maina character mwenyewe (Tyler)Nadhani itakuwa soon tu. Ile ya kwanza naona hawakuwa na wazo la kuiendeleza walipo ona mwitikio ikabidi waifufue
Ila yule dogo aliyechomesha location ingekuwa ktk maisha ya uhalisia angekatwa vibao vya nguvu 😁😁😁Yani hawa jamaa kwa mfumo wa story waliouchagua (missions /extraction) , wanauwezo wa kutoa hata movies 10+ maana ni kitendo cha kutunga story ya mission mpya kila tolea, haina mambo ya kuendeleza wahisika usipokuwa yule manzi( Nik) na maina character mwenyewe (Tyler)
Watapiga sana hela.
Yule dogo alinikera sana, mission imeshisha muda wote anamuulizia baba yake wakati muda sio mrefu ametoka kushuhudia mama yake anapigwa na huyo mzee.Ila yule dogo aliyechomesha location ingekuwa ktk maisha ya uhalisia angekatwa vibao vya nguvu 😁😁😁
Sema ilibidi iwe vile ili muvi iendelee😀
Ok.kuna option mbili jinsi ya kuinstall kwa tv.ila kabla ya yote make sure umeinstall onstream apk kwenye simu yako..then ingia playstore ya smart tv yako download na install program zifuatazo
inaitwa 'send files to tv' ipo hivi na nyingine inaitwa 'FX'.kisha utadownlod tena kwenye simu yako apk ya 'send files to tv'.
Then nenda kwende smart tv yako fungua ile apk yetu ya send files to tv utaclick kwenye neno receive nenda kwenye simu yako pia fungua hiyo apk na click neno send.kule kwenye simu yako utaitafuta apk unayoitaka na kuituma kwenye tv yako.ikishaingia utafungua ile Apk ya Fx utaikuta ile apk kwenye file la download, then utaclick install na utakuwa umemaliza kazi.kila la kheri.kwa njiaa hii utaweza send file lolote lile kwenye tv yako .
Kali sana…nlitaka kulia pale kidogo stering afeWakuu mmeangalia Guardians of the Galaxy vol 3