Must see Movies

Enemy of the state, born legacy, born supremacy, born altimatum, columbus has fallen, white house down na series kama 24hrs, missing, travellor, strike back, jukita etc. There are so many to mention mkuu
Duh aisee..good!! Ngoja nizitafute ambazo sikuwa nazo.
 
1.Family Tears
2.Nakwenda kwa mwanangu
3.Chozi la mama
4.Mrembo Kikojozi
5.Kigodoro
6.Inye
7.She is my Sister
 
unakumbuka pale yule mteja charlie anakufa kwenye ile boat?
IT'S NOT CHARLIE'S BOAT.
hiyo kitu Lost achana nayo, my favorite actors humo alikuwa Sawyer na John Locke. Ila sikupenda namna ilivyoisha....
 
1. Captain Phillips-2013

2. My Sister's Keeper-2009

HII YA CAPTAIN PHILLIPS NIMEIONA. Kilichonivutia ni kwamba inaonyesha kwa namna ile ile maharamia hawa wanavyofanya utekaji wa meli kandokando mwa bahari ya hindi. Wanatumia mbinu za kizamanizamani kuteka ila ni makatili wa kutisha. Na ndo maana mwishoni mission yao haikufanikiwa hata chembe ikiwa ni pamoja na kupoteza maisha. uZURI MWINGINE NI KWAMBA IMEBASE KWENYE TRUE LIFE EXPERIENCE
 
Merlin walikuuzi nini?
 
hiyo kitu Lost achana nayo, my favorite actors humo alikuwa Sawyer na John Locke. Ila sikupenda namna ilivyoisha....
me pia sikupenda ilivyoisha, ila nimegundua hizi series nyingi huwa wanashindwa kuzimalizia ndo mana stori huanza vzr ikikaribia mwisho wana vurunda hata heros kama ulishaiona mwisho waliiharibu sana
 
me pia sikupenda ilivyoisha, ila nimegundua hizi series nyingi huwa wanashindwa kuzimalizia ndo mana stori huanza vzr ikikaribia mwisho wana vurunda hata heros kama ulishaiona mwisho waliiharibu sana
Nahisi wanakuwa wamechoka si unajua kamba hukatikia pembamba na pia mwisho wa safari ndio mgumu!!
 
Season 5 hawakuiandaa kwa ubora wa season zilizo pita, WALIFANYA KIBIASHARA ZAIDI kuliko kazi.
ndo mana nikasema huwa wanavurunda zikifika mwishoni, hata tree hill kama ulishaiangalia waliilazimsha kuendelea wakakosa stori basi ikawa majanga matupu mvuto ukaisha
 
ndo mana nikasema huwa wanavurunda zikifika mwishoni, hata tree hill kama ulishaiangalia waliilazimsha kuendelea wakakosa stori basi ikawa majanga matupu mvuto ukaisha

Series za kikorea wao hawanaga utani na kazi, mwanzo mwisho utanu.
 
Series za kikorea wao hawanaga utani na kazi, mwanzo mwisho utanu.

haswaa japo nimeziona chache lakini hakuna nilioina nikajuta kuanzia za love stori mpaka za action zote huwa nzuri mwanzo mwisho alafu kinachonivutiaga zaidi hawana ma sex scene na uvaaji wao ni wa heshima sio kama za wazungu lakini still zinamvuto sana
 
Wako siriazi na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…