Must see Movies

hiyo kitu Lost achana nayo, my favorite actors humo alikuwa Sawyer na John Locke. Ila sikupenda namna ilivyoisha....

haahaahaa Sawyer anytime yy ni son of bitch
 
Jamaa lilikuwa korofi balaa na likasababisha kuchukiwa na wenzake kimtindo. Lilikuwa linajiamini na halikumkubali Jack kabisa kuwa kiongozi wao.
 
mkuu hiyo the following imeshatoka season two?
 
Tears of the sun unaweza ukalia.

Nimejaribu kuitafuta hii nimeikosa ni ya wasouth korea ama?maana me sipend za kizungu nawapenda sana hawa wa south korea wanatisha lol na napenda za kusikitisha mpaka nilie
 
Muvi imefanyikia NIGER, inaelezea makomando wa USA na vita iliokuwa inaendelea eneo lile la NIGER, kilichopo humo ndani ni utata mtupu na huwezi amini dah........., ni nzuri kwa kweli, nnayo kwenye pc yangu.
 
Mwenye list ya picha kali za hawa wa south Korea anipatie ukiondoa
IRIS
CITY HUNTER
CRUSH THE COCKROACH
A MOMENT TO REMEMBER
MEMORIES OF MURDER
BAD
MY SASSY GIRL
GODDES OF THE WAR
THE CHASER
OLD BOY
MAN CALLED GOD........AMBAYO SIJAITAJA YA ACTIONS YENYE KUHUZUNISHA SANA NA KUKUFANYA ULIE AORODHESHE
 
Nimejaribu kuitafuta hii nimeikosa ni ya wasouth korea ama?maana me sipend za kizungu nawapenda sana hawa wa south korea wanatisha lol na napenda za kusikitisha mpaka nilie
sio ya wasouth korea hiyo. Ni ya kivita inahusu mauaji na ubakaji katika vita ya wenyewe kwa wenyewe katika bara la Africa. Usipolia wewe mgumu. Itafute hutajuta kuiangalia. Humo ndani yupo Bruce Willis na wengineo.
 
Muvi imefanyikia NIGER, inaelezea makomando wa USA na vita iliokuwa inaendelea eneo lile la NIGER, kilichopo humo ndani ni utata mtupu na huwezi amini dah........., ni nzuri kwa kweli, nnayo kwenye pc yangu.
Kati ya top 3 ya movies kali nilizowahi kuziona hii inashika namba moja......
 
Zile zinazoonyeshwa katika tv chaneli za bongo kama Jumong n.k huzipendi?
 
sio ya wasouth korea hiyo. Ni ya kivita inahusu mauaji na ubakaji katika vita ya wenyewe kwa wenyewe katika bara la Africa. Usipolia wewe mgumu. Itafute hutajuta kuiangalia. Humo ndani yupo Bruce Willis na wengineo.

Ahsante mkuu Ngoja niitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…