Sasa kwanini usema kwamba DUNE haina maajabu wakati hapa unakubali kwamba ni Graphical Masterpiece ??
Sasa kama unafahamu fika kwamba neno "Graphical" lina Denotative na Connotative Meanings kwanini ukimbilie kutafasiri kwamba mimi nazungumzia ubora wa kamera peke yake tu ???
Usilazimishe kitu ambacho sijakisema mkuu. Hivi leo nikisema kwamba Mad-Max:Fury Road ni Graphical Masterpiece kuliko Mad-Max 1982, basi kichwani kwako unadhani ntakuwa nazungumzia ubora wa kamera peke yake tu ??? Mbona filamu kama Terminator 2: Judgement Day ya mwaka 1991 ni Graphical Masterpiece kuliko hata Terminator😀ark Fate ya mwaka 2019. (Hapa utasema nafananisha ubora wa kamera tu ???)
Mazee, sisi wote hapa ni mashabiki tu, binafsi sina utaalamu wowote ule wa filamu na sina cha kukufundisha wewe.
Nipo humu kuburudika tu, hivyo huu mjadala tuupotezee tu,...
Shukrani sana Mkuu,.......