Must see Movies

Must see Movies

Sasa kwanini usema kwamba DUNE haina maajabu wakati hapa unakubali kwamba ni Graphical Masterpiece ??

Sasa kama unafahamu fika kwamba neno "Graphical" lina Denotative na Connotative Meanings kwanini ukimbilie kutafasiri kwamba mimi nazungumzia ubora wa kamera peke yake tu ???

Usilazimishe kitu ambacho sijakisema mkuu. Hivi leo nikisema kwamba Mad-Max:Fury Road ni Graphical Masterpiece kuliko Mad-Max 1982, basi kichwani kwako unadhani ntakuwa nazungumzia ubora wa kamera peke yake tu ??? Mbona filamu kama Terminator 2: Judgement Day ya mwaka 1991 ni Graphical Masterpiece kuliko hata Terminator😀ark Fate ya mwaka 2019. (Hapa utasema nafananisha ubora wa kamera tu ???)

Mazee, sisi wote hapa ni mashabiki tu, binafsi sina utaalamu wowote ule wa filamu na sina cha kukufundisha wewe.
Nipo humu kuburudika tu, hivyo huu mjadala tuupotezee tu,...

Shukrani sana Mkuu,.......
👍👍👍
 
Mad-Max:Fury Road ni Graphical Masterpiece kuliko Mad-Max 1982
Sorry, just a small correction mad max 2 ilitoka December 1981 not 1982 and mad max; beyond thunderdome ni ya 1985

Mm ni fan mkubwa sana wa mad max😅😅😅

Sema hakuna nomah tuupige chini huu mjadala👍👍👍
 
Hii movie ni remaking tuu haina maajabu yeyote, bac tuu cast imejaa mastaa wengi ila ni remaking ya DUNE(1984) ya David lynch ambayo ilikuwa Kali mno, hii ya mwaka huu ameitengeneza Denis Villeneuve, kumbuka sio Mara yake ya kwanza kufanya remaking ya classic blockbusters, mfano "blade runner" classic blockbuster ya miaka ya 80s aliotengeneza sir. Ridley Scott ilifanyiwa remaking na huyuhuyu Denis Villeneuve mwaka 2017 akaiita "blade runner 2049"
Kusema kweli bila unafiki sijaona maajabu yeyote kwenye hii kitu.
Ila kwa wale hawajaona nisiwakatishe Tamaa waiangalie may be si nzuri kwetu kwa wengine ikanoga.
 
Hukuikubali kwa upande upi?? Je story mbaya?? Graphics mbaya?? Acting mbaya?? Director hajui?? Cinematographer kazingua?? Which is which??

Kwa Visual iko fresh, sema ndefu, boring, fight scenes kawaida najua sio lazima iwe action packed lakin hamna sikuwa interested kbs, halafu come on kuna Bautista... ambae binafsi namconsider kuwa hajuagi acting.. Jared Leto na kazingua so yeah.. sikuipenda

Hayo ni mawazo yang kama nilivyosema sipo kwenye d**ck-measuring contest
 
Real talk bruh [emoji106] tena ukiangalia Trailer utachanganywa na hivyo viji scene uchwara tizama movie sasa upuuzi uliomo.
Movie sikuiz jau sana wanarudiarudia tuu concept ili mradi wapige tuu hela, ndo maana namkubaligi sana director amd producer David lynch, Huyu jamaa anasemaga ukweli unauwaumiza madirector wengi.....

Kuna msemo wake mmoja naupendaga sana, alisema "A film should be interesting, enjoyable and above all mind blowing"
 
Kwa Visual iko fresh, sema ndefu, boring, fight scenes kawaida najua sio lazima iwe action packed lakin hamna sikuwa interested kbs, halafu come on kuna Bautista... ambae binafsi namconsider kuwa hajuagi acting.. Jared Leto na kazingua so yeah.. sikuipenda

Hayo ni mawazo yang kama nilivyosema sipo kwenye d**ck-measuring contest
Yaan sijakuelewa, unaamaanisha Jared leto hajui kuigiza au kweny blade runner ndo kazngua??
 
Kwahiyo ndio tumekubaliana Luca ndio the best latest animation iliotoka so far?
IMG_3164.jpg
 
Kwa Visual iko fresh, sema ndefu, boring, fight scenes kawaida najua sio lazima iwe action packed lakin hamna sikuwa interested kbs, halafu come on kuna Bautista... ambae binafsi namconsider kuwa hajuagi acting.. Jared Leto na kazingua so yeah.. sikuipenda

Hayo ni mawazo yang kama nilivyosema sipo kwenye d**ck-measuring contest
Natafta muvi nzuri ya action ya kiafrica Africa...ikiwa ya porini itapendeza
 
Yeah, halafu wewe unaitwa Tarantino...You of all people should know that
Super assassin John wick😅😅, did u know kwamba Jared leto temporarily blinded himself while filming blade runner so that he would fit the role precisely, he also needed an assistant to walk him to the place where they were shooting, the crowd was amazed by how he was such a "method actor"

Anyway kama unaona kazingua haina nomah, ni mtazamo wako👍
 
Super assassin John wick[emoji28][emoji28], did u know kwamba Jared leto temporarily blinded himself while filming blade runner so that he would fit the role precisely, he also needed an assistant to walk him to the place where they were shooting, the crowd was amazed by how he was such a "method actor"

Anyway kama unaona kazingua haina nomah, ni mtazamo wako[emoji106]

Sema sijasema kuwa ni actor mbaya hamna ila... will smith alibadilisha muonekano pia... Suicide Squad ikawa mbovu anyway japo performance yake ilikuwa nzuri
 
Back
Top Bottom