Must see Movies

Must see Movies

Naomben muvi kali za comedy na criminal drama dizain za power,narcos,prison break n.k mostly ziwe za mablack americans
 
Restless ndio hiyo ya Kifaransa au
Ndio hiyo. Ila ukiichukua netnaija inakuja na dual audio utaweza kuitizama na kusikiliza lugha ya kingereza safi kabisa
Screenshot_20230611-214517.png
 
Kwanini kwako unaona Day shift ni kali kuliko Top gun?
Action za kwenye Day Shift ni za face to face pia story yake ni interesting kwa upande wangu. Pia idea ya vampires naipenda sana, imeinclude comedy ndani yake. All fighting scenes are mind blowing starting with the 1st scene, ile ya yule nigga na old looking vampire (yule bibi), kila kitu kilikuwa unyama sana kwenye ile muvi.

Sasa hiyo Top gun action zake ni za kurusha makombora kutoka kwenye fighting jets, then muvi ikaisha. Mbaya zaidi action zake zipo mwishoni kabisa. Sielewi kwa nini watu wamepagawa nayo [emoji38][emoji38]

Don't get me wrong, Topgun ni movie nzuri kwangu ila sio best. Naiona no average movie

Kama ingekuwa ni rating basi kwangu Day Shift ningeipa 9.1/10 halafu Top gun: Maverick ningeipa 7.2/10
 
Umeeleweka kijana nimekuuliza sio kwamba nimeziona hizo movie ni kutaka nijue ipi ya kuicheki
 
Action za kwenye Day Shift ni za face to face pia story yake ni interesting kwa upande wangu. Pia idea ya vampires naipenda sana, imeinclude comedy ndani yake. All fighting scenes are mind blowing starting with the 1st scene, ile ya yule nigga na old looking vampire (yule bibi), kila kitu kilikuwa unyama sana kwenye ile muvi.

Sasa hiyo Top gun action zake ni za kurusha makombora kutoka kwenye fighting jets, then muvi ikaisha. Mbaya zaidi action zake zipo mwishoni kabisa. Sielewi kwa nini watu wamepagawa nayo [emoji38][emoji38]

Don't get me wrong, Topgun ni movie nzuri kwangu ila sio best. Naiona no average movie

Kama ingekuwa ni rating basi kwangu Day Shift ningeipa 9.1/10 halafu Top gun: Maverick ningeipa 7.2/10

Top Gun na Day shift(japo sijaiona) naamini ni storyline tofauti kabisa mzee. Jamaa ni test pilot wa navy ambaye aliharibu kazi na kutakiwa kurudishwa chuoni kufundisha marubani vijana kukamilisha mission Fulani ngumu ya kulipua Vinu vya nyuklia.
Sasa Kwa storyline kama hiyo unategemeaje kuona actions mwanzo wa muvi mzee?[emoji3] Kwa vyovyote lazima ziwe mwishoni tu. Na kingine Yale ni mapigano ya jet fighters hivyo lazima makombora yarushwe sana na yakwepwe sana, jets bila makombora inawezekanaje bob [emoji2]Au mwanangu hupendi kuona manuva ya zile ndege na scene za ndani ya cockpit zilivyochukuliwa!
Hata Jina la muvi yenyewe linaakisi utakayokutana nayo ndani, Top gun maana yake ni Fighter Weapons School asa wew ulivoona Hilo Jina ukajua humo ndani ni mijegeje mfululizo kama kwenye black hawk down, hapana[emoji3][emoji3][emoji2] Still 9.5/10

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Nmemaliza kucheck The Convenant hii movie ipo safi sana naipa 9.0
Hivi hii movie mnaisifia kwa kipi, hebu tuijadili vizuri hapa maana mimi nilioa ni ya kawaida sana, ukiondoa jamaa kubebwa kwenye toroli ziaidi ya dk 40, kuna nini kingine?
 
Top Gun na Day shift(japo sijaiona) naamini ni storyline tofauti kabisa mzee. Jamaa ni test pilot wa navy ambaye aliharibu kazi na kutakiwa kurudishwa chuoni kufundisha marubani vijana kukamilisha mission Fulani ngumu ya kulipua Vinu vya nyuklia.
Sasa Kwa storyline kama hiyo unategemeaje kuona actions mwanzo wa muvi mzee?[emoji3] Kwa vyovyote lazima ziwe mwishoni tu. Na kingine Yale ni mapigano ya jet fighters hivyo lazima makombora yarushwe sana na yakwepwe sana, jets bila makombora inawezekanaje bob [emoji2]Au mwanangu hupendi kuona manuva ya zile ndege na scene za ndani ya cockpit zilivyochukuliwa!
Hata Jina la muvi yenyewe linaakisi utakayokutana nayo ndani, Top gun maana yake ni Fighter Weapons School asa wew ulivoona Hilo Jina ukajua humo ndani ni mijegeje mfululizo kama kwenye black hawk down, hapana[emoji3][emoji3][emoji2] Still 9.5/10

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Najua Top gun inahusu hayo mambo ya mapigano ya fighter jets
Lakini ninacholalamika ni kwamba mapigano ya jets yalikuwa mwishoni kabisa na hayakudumu muda mrefu. Naona muda mwingi wamepoteza kwenye story na mafunzo

Nilitamani yale mapigano yangefanyika kwa muda mrefu zaidi maana ndio best part ya movie. Sasa wamekuja kupambana mwishoni kabisa halafu action zenyewe zimechukua muda mfupi tu, then movie ikaisha
Action kali ila muda mfupi
Ndio maana nimeiona ni average movie
 
Kama hii Covenant Ina scene nzuri mbili tu, pale walipopigwa ambush na wataliban na mwishoni basi, sehemu kubwa ya muvi mtu anakokotwa kwenye mkokoteni tu. Inaboa,[emoji58]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ila sasa ukisikiliza watu wanavyoipa hype ni lazima ujishitukie, Covent Covenant Covenant[emoji16].
 
Najua Top gun inahusu hayo mambo ya mapigano ya fighter jets
Lakini ninacholalamika ni kwamba mapigano ya jets yalikuwa mwishoni kabisa na hayakudumu muda mrefu. Naona muda mwingi wamepoteza kwenye story na mafunzo

Nilitamani yale mapigano yangefanyika kwa muda mrefu zaidi maana ndio best part ya movie. Sasa wamekuja kupambana mwishoni kabisa halafu action zenyewe zimechukua muda mfupi tu, then movie ikaisha
Action kali ila muda mfupi
Ndio maana nimeiona ni average movie
Hapo kwenye muda mfupi wa mapigano wameendana na uhalisia wa mapigano ya ndege, hayatakiwi kuzidi dakika 5 mkuu, refer kama umeiangalia Ile behind enemy lines ya Owen Wilson Ile scene ya fighter inavokimbizana na makombora. Mda mfupi tu

Back
Top Bottom