Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Kama una Telegram nikupe link yaoHELLO MOVIE LOVER
MSAADA WA LINK YA KU DOWLOAD NIGERIAN MOVIE ,NETNAIJA MOVIE NYINGI ZA NAIJERIA HAMNA KULE PLEASE MSAADA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una Telegram nikupe link yaoHELLO MOVIE LOVER
MSAADA WA LINK YA KU DOWLOAD NIGERIAN MOVIE ,NETNAIJA MOVIE NYINGI ZA NAIJERIA HAMNA KULE PLEASE MSAADA
Tupia hapa mkuuKama una Telegram nikupe link yao
Tupia hapa mkuu
Kwanini uliifuta mkuu?Umewezaje kutoboa na hii series? Niliifuta baada ya season 2
Ni balaa iyo kitunmetulia na series ya KACIS
Ile yupo na Jackie Chain umeiona?John cena anatuletea muvi inaitwa
freelance 2023
Nimeshiangalia 😁😁😁 vumbi lilikuwa linatimuliwa na jet engine halafu yale mapigano kwenye povu yalinichekesha sana 😁😅Ile yupo na Jackie Chain umeiona?
Pale kwenye povu hata mimi palinichekesha ila paliponichekesha zaidi ni mapigano yao Jackie na John halafu wakaingia wale adui ikabidi waungane, [emoji23][emoji23]Nimeshiangalia [emoji16][emoji16][emoji16] vumbi lilikuwa linatimuliwa na jet engine halafu yale mapigano kwenye povu yalinichekesha sana [emoji16][emoji28]
They killed my brother too. Kuna case ilitaka kuangukia maiti ikabidi mmoja wao aidake 😁😁😁Pale kwenye povu hata mimi palinichekesha ila paliponichekesha zaidi ni mapigano yao Jackie na John halafu wakaingia wale adui ikabidi waungane, [emoji23][emoji23]
Eeh Jackie aliwahi kuitoa maiti, ila alijua kumpelekesha, ki Jackie kinateleza tu nikasema leo John kayakanyaga, mwili mkubwa vs mwili mdogo, na pale wapo kwenye yale makorongo John anamuuliza "what should we do?" anamjibu "i have a plan"mara wote watatu wanaonekana wanapiga kelele "heeeeeeeeeelp" nilicheka sana,They killed my brother too. Kuna case ilitaka kuangukia maiti ikabidi mmoja wao aidake [emoji16][emoji16][emoji16]
It seems watatuletea mwendelezo?Eeh Jackie aliwahi kuitoa maiti, ila alijua kumpelekesha, ki Jackie kinateleza tu nikasema leo John kayakanyaga, mwili mkubwa vs mwili mdogo, na pale wapo kwenye yale makorongo John anamuuliza "what should we do?" anamjibu "i have a plan"mara wote watatu wanaonekana wanapiga kelele "heeeeeeeeeelp" nilicheka sana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sidhani, maana hadi mwisho sijaona kama kuna bonus scene ambayo ingetupa clue kua kuna muendelezo, too soon to tell.It seems watatuletea mwendelezo?
Bonus scene baada ya kufungulia maji kwenye kile kisima pale kijijini, kikosi cha Jack kikaja wakamuita boss " we have another mission " alafu Jack akamgeukia John akamuuliza "do you want to join us" so inaonekana wataenda kufanya mission nyingine wakiwa pamojaSidhani, maana hadi mwisho sijaona kama kuna bonus scene ambayo ingetupa clue kua kuna muendelezo, too soon to tell.