Must see Movies

Must see Movies

September 8
1692262391954.jpg
 
John cena anatuletea muvi inaitwa
freelance 2023
 
Nimeshiangalia [emoji16][emoji16][emoji16] vumbi lilikuwa linatimuliwa na jet engine halafu yale mapigano kwenye povu yalinichekesha sana [emoji16][emoji28]
Pale kwenye povu hata mimi palinichekesha ila paliponichekesha zaidi ni mapigano yao Jackie na John halafu wakaingia wale adui ikabidi waungane, [emoji23][emoji23]
 
Pale kwenye povu hata mimi palinichekesha ila paliponichekesha zaidi ni mapigano yao Jackie na John halafu wakaingia wale adui ikabidi waungane, [emoji23][emoji23]
They killed my brother too. Kuna case ilitaka kuangukia maiti ikabidi mmoja wao aidake 😁😁😁
 
They killed my brother too. Kuna case ilitaka kuangukia maiti ikabidi mmoja wao aidake [emoji16][emoji16][emoji16]
Eeh Jackie aliwahi kuitoa maiti, ila alijua kumpelekesha, ki Jackie kinateleza tu nikasema leo John kayakanyaga, mwili mkubwa vs mwili mdogo, na pale wapo kwenye yale makorongo John anamuuliza "what should we do?" anamjibu "i have a plan"mara wote watatu wanaonekana wanapiga kelele "heeeeeeeeeelp" nilicheka sana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
It seems watatuletea mwendelezo?
 
Sidhani, maana hadi mwisho sijaona kama kuna bonus scene ambayo ingetupa clue kua kuna muendelezo, too soon to tell.
Bonus scene baada ya kufungulia maji kwenye kile kisima pale kijijini, kikosi cha Jack kikaja wakamuita boss " we have another mission " alafu Jack akamgeukia John akamuuliza "do you want to join us" so inaonekana wataenda kufanya mission nyingine wakiwa pamoja
 
Back
Top Bottom