TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

Kuna baharia mmoja mwanangu sana alipelekaga basi zake zilikuwa zinaitwa baloteli mbona zilikuja juta
Inabidi waweke pia lami mpaka kwenda kimamba na ukitokea melela mikumi unaingia hadi kilosa nayo waweke lami....
Kilosa sahv syo kama ya zamani

Ova
Baloteli zilitamba kidogo ila naona hakua mjanja biashara ya huko ikamshinda
 
Tupe historia ya maisha yake kiufupi, amezaliwa wapi, amesoma wapi, familia yake, kazi alizofanya, kwanini alitengulliwa uwaziri wafedha.
 
Huyu ndo mwenye hotel kubwa pale Msamvu morogoro inaitwa Ulomi?? Kumbe wanaotuibia nao hufa?
 
Huyu ndo mwenye hotel kubwa pale Msamvu morogoro inaitwa Ulomi?? Kumbe wanaotuibia nao hufa?
Haya sasa, watu hawanasubira msiba uishe kwanza. Haya ndiyo matokeo ya kuwa na sifa mbovu katika uongozi. Heshima hakuna.
 
Alishawahi pigwa FATAKi moja na Zitto(yule sio huyu wa sasa) bungeni kuhusu Ufisadi wa viwanja kama sijakosea,mwenzio Zitto aliweka rehani Ubunge wake,Mkullo yeye akaishia kucheka cheka tu..
 
Alishawahi pigwa FATAKi moja na Zitto(yule sio huyu wa sasa) bungeni kuhusu Ufisadi wa viwanja kama sijakosea,mwenzio Zitto aliweka rehani Ubunge wake,Mkullo yeye akaishia kucheka cheka tu..
RIP mzee Mkulo.

Hata hivyo utakuwa umeishaangalia filamu za Godfather au Good Fella’s au Sopranos.

Nchi yetu ndivyo inavyoendeshwa kwa kutumia ule mfumo wa Kleptokrasia.

Marehemu Mkulo, Ramadhani Dau, Marehemu Ditto, Uiso, Janguo, Kitwana Kondo na mazee wengine hawa ndo wenye kuhakikisha lile gurudumu liitwalo Cashcow lajitosheleza miaka nenda rudi.

Mzee wa MSG ndio King Don.

Ubunge kwa watu hawa ni mwamvuli wa kuziba mambo yao na hapo hutasikia barabara imejengwa huko unakosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…