Je huyo mwekezaji amepatikanaje?Ukiachana na kichwa chako cha habari. Alichokiongea Msukuma kuhusu mfumo wa sasa wa bandari yetu ni kweli tuko nyuma sana. Inahitaji mwekezaji. Tena ningependa awe pia ndio mtoza kodi tuondokane na hawa TRA. Ameongea point sana hii kuwa na bandati ya kisasa kubwa ni lazima ikumbane na vikwazo vikubwa ksbb moja kwa moja unaingia kwenye vita kubwa ya kiuchumi na mataifa yenye bandari.
Pia tayari tunaenda kukata mirija ya miaka mingi ya baadhi ya watu pale bandarini. Ni muhimu sana sasa kwa bandari yetu kuingia ktk hii hatua. Tumechelewa mno. Naunga mkono hoja 100%.
Hata gesi ya songosongo ilikuwa na maelezo mazuli kupita hayo, kikuwapi?Huyu jama kaeleza vizuri sana na subiria mwenye kum-challenge kihoja sio matusi, sikilizeni hiyo clip plz.....ndo mleta majibu sio kupiga propaganda.
Hakuna aliyekataa ubinafshaji tatizo vipengele vya mkataba hamuelewi wapi???Huyu jama kaeleza vizuri sana na subiria mwenye kum-challenge kihoja sio matusi, sikilizeni hiyo clip plz.....ndo mleta majibu sio kupiga propaganda.
Huyu jamaa ana hela chafu sana.Huyu bwege kishahongwa na waarabu.kama ana hela bungeni kafuata nini huyo paka.si angekaa kwao ale hizo hela zake.mpuuzi mkubwa huyo.
Mkoa unaotoka hauwezi kum challenge ulizaaHuna hela! Ni wa kawaida Sana!
Kipipa weweMakamanda uchwara yamepigwa kitu kizito🤣
Chama kimechoka mpka wabunge wa darasa la 4 ndio wanaropoka hata kujibu hoja hawawezi...kweli chama kiko hoiMakamanda uchwara yamepigwa kitu kizito[emoji1787]
Hata uniiteje haisaidii kitu🤣Kipipa wewe
Unapumuliwa na ChongoloHata uniiteje haisaidii kitu🤣
Wanajeshi hawahawa ambao 90% ni form 4 leaver?Kama Ccm wameshindwa kuendesha bandari, wawape Wanajeshi wasimamie. Ccm wamebaki kuiba tuu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Bungeni...Huku Kibajaji....Huku Msukuma, msomi wa PhD ya darasa la saba.[emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh, kuna Mahali Walokole wamezungumzia udini na kupinga chochote kwa minajili ya kidini?Walokole wamejiapiza kupinga "Mwarabu" kupewa Bandari aiendeshe wanataka eidha Mzungu au Mwizraeli.
Sijui tunafeli wapi?
Tapeli sana huyu. NamfahamuHuyu mhutu siyo wa kumwamini sana.