Bungeni...Huku Kibajaji....Huku Msukuma, msomi wa PhD ya darasa la saba.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe mhutuHuyu mhutu siyo wa kumwamini sana.
Huyu Musukuma ni mwehu. Tangu lini hongo kubwa huwa zinachukuliwa na maskini? Hongo zote kubwa huchukuliwa na watu ambao tayari wana pesa. Bahati mbaya hakuna ukomo wa tamaa ya mtu kwenye pesa. Ndiyo maana mwenye milioni 100 bado anafanya biashara ya bidhaa zinazouzwa kila moja sh 500.Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Huyo darasa la saba anatumiwa na ccm kama β court jesterβ kufurahisha wakubwa wa ccm!Huyu bwege kishahongwa na waarabu.kama ana hela bungeni kafuata nini huyo paka.si angekaa kwao ale hizo hela zake.mpuuzi mkubwa huyo.
Off the mark vp ,wakati Ali release nyaraka za serikali, kwani huu mkataba ni nyaraka ya nani?Mfano wa Snowden ni off the mark..utajadili vipi kitu hujakiona!?
Hahahahahh kidogo inafanana na hiyoUnamaanisha familia ya Ashash ilimpa mke Jeikei, siyo!!
Kuna makunaliano ya serikali na serikali Kisha Kuna mkataba wa makubaliano wa mamlaka za bandari za nchi husika ambao ndiyo mkataba wa utekelezaji,wewe na lisu mmeona upi!?Off the mark vp ,wakati Ali release nyaraka za serikali, kwani huu mkataba ni nyaraka ya nani?
Nimejadili nilivyo viona kama alivyo ona Lisu,Malisa,Zitto na wengine wame screenshot.Kazi kwao serikali ni kuprove wrong kwa hiki tulicho kiona.
Na cha tatu kama kweli,ikiwa mkataba huu tuliona na utakao kuwa discussed kesho bungeni ikiwa sawa basi lazima serikali ijiulize nani aliyevujisha nyaraka ya serikali kabla ya kuwa discussed na bunge.
Hawa ndiyo wametuchafulia Kabila letu pendwa la WasukumaKumbe mhutu
Hajazungumzia DP World na suala la DjiboutKutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Mtandaoni.Kuna makunaliano ya serikali na serikali Kisha Kuna mkataba wa makubaliano wa mamlaka za bandari za nchi husika ambao ndiyo mkataba wa utekelezaji,wewe na lisu mmeona upi!?
Chini ya ticts ya Nazir karamagi,ndiyo kalipa watu walete taharuki kwa kuwa kanyimwa mkataba,makubaliano baina ya serikali yalishafanyika,ikiwemo tz kuwezeshwa kirasilimali watu,lakini makubaliano baina ya serikali hayawezi anza bila ya mkataba baina ya mamlaka za bandari,ambao utajadiliwa kesho bungeniMtandaoni.
Ukishazungumzia makubaliano na serikali maana yake tayari ni siri, japo ktk maswala ya usalama wa taifa kuna kitu kinaitwa security clearance , na mara nyingi wana zi level according na impacts ya ile siri kama ikivuja. Kama ni top secret watakaojua ni wachache.
Huu mkataba utake husitake ni nyaraka ya siri ya serikali, kitendo cha kupatikana Mtandaoni ni kosa na kwa kuwa ushavuja mitandaoni huwezi zuia watu kudiscuss.
Kwani hivi bandari ya NCHI HUSIKA inakuwa chini ya nani?
Bandari ilikua chini ya ticts,alipewa tangu 2000s huko,acheni ujingabandari ni national security huwezi kumpa MTU amiliki
wapumbafu sana
Massala ya Ticts na Karamagi hizo behind the scene, wengi hatuzijui ila huu mkataba now upo mitandaoni na vipengele vyake ndio vile, so kama kesho mkataba watako udiscuss bungeni ukawa sawa na huu ambao upo mitandaoni tutakuwa tunaipeleka nchi kubaya.Chini ya ticts ya Nazir karamagi,ndiyo kalipa watu walete taharuki kwa kuwa kanyimwa mkataba,makubaliano baina ya serikali yalishafanyika,ikiwemo tz kuwezeshwa kirasilimali watu,lakini makubaliano baina ya serikali hayawezi anza bila ya mkataba baina ya mamlaka za bandari,ambao utajadiliwa kesho bungeni