Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Jina Dar es Salaam limetokea wapi?
 
Hakuna nguvu za giza anajua kusoma nyakati and he’s actually smart and street wise kula na kipofu usimshike mkono

Hao wenzetu walioendelea wangekuwa wanakula na kipofu wasingefika walipofika. Unateseka hufiki malengo chanzo kikubwa ni hawa viongozi wanafki
 
Mkuu

Uafrika hasa utanzania ni LAANA.

Hayo hayo aliyo yafanya huyo jamaa yako aliyeuza shamba ndio yanafanywa na viongozi wakubwa wa nchi.

Hadi kufikia hapa, unaona ni jinsi gani utanzania ni LAANA.
 
Taifa linaloabudu watu wenye vihela hata kama ni wajinga na mafisadi wa kutupwa. Taifa lisilo na core principles zisizogusika wala kuchezewa 🚮🚮🚮
 
Msukuma ni mwehu!
 
Tunapigania wazawa wa kisiju na rufiji na mkuranga

Na vizazi vyao

Wewe unapigani waarabu wa Dunia kisa dini
 
Tatizo siyo kuona yanayofanywa Bandari ya Dubai, tatizo ni uwezo wake wa kutafasiri sheria ya kimkataba iliyomo ndani ya mkataba. Ukoloni ukoloni ukoloni bado unaendelea kwa Nchi nyingi tu hapa Africa ikiwemo Tanzania.
 
Geita imebaki mashimo matupu halafu anaibuka Msukuma na Baiskeli yake kutetea Bandari ya DSM

Ulinzi wa rasilimali huanzia Jimboni, Wilayani, Mkoani ndio Uje taifani

Watu kama Msukuma ndio huvuruga mambo ya msingi yanapokuwa Kwenye Mjadala wenye nia Njema

Mtu ana PhD ya mchongo kabisa yaani!
 
Unamuonea tu "dokita" wa watu!🤔
 
Mkataba ni Mbovu ,kikawaida ilitakiwa wapewe kulingana na investiment yao ya awali ,kama wanainvest 2T then mkataba uende mpaka deni litakapoisha baada ya hapo wale 20% ya faida kwa miaka 15 then tutaangalia baadae kama watahitajika.
Tujulize hivi trillion 2 hatuna? Hii si ni kuhairisha tu vitu vichache tunaipata. Tatizo la Tanzania sio pesa, bali ni matumizi na vipaumbele

Jana nimemsikia msigwa anasema Hawa wanakuja kuweka trillion 4, ambayo sisi tusingeweza
Msigwa anashindwa kuelewa Kuna matumizi mengi tunafanya na yanapotea zaidi ya hiyo trillion 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…