Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Wazaramo waliita Mzizima kwa hiyo.Wareno walipokuja kufanya biashara wakaanza kuzingua Wazaramo kwa uvivu wao na uswahili wakaajiri Waarabu Mercenari ili wawapiganie vita Waarabu wakapigana vita karne mbili waswahili wanajifanya mamwinyi walipomaliza vita na Mreno Waarabu wakaweka sultan wao Qaboos sasa tunaanza hiyama mpya.Italeta afueni kwa watumwa Allah awape subra msilete tafrani kwani mtakiona cha Firauni.
Jina Dar es Salaam limetokea wapi?
 
Jina Dar es Salaam limetokea wapi?
Mbona mnatutoa kwenye reli??

“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha ubinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGE
20230608_101702.jpg
 
Hakuna nguvu za giza anajua kusoma nyakati and he’s actually smart and street wise kula na kipofu usimshike mkono

Hao wenzetu walioendelea wangekuwa wanakula na kipofu wasingefika walipofika. Unateseka hufiki malengo chanzo kikubwa ni hawa viongozi wanafki
 
Hivi ni kwamba pamoja na kuwa na uhuru kwa Miaka 60 hatuna uwezo wakusimamia mambo yetu kweli? Au tuna uhuru wa kuuana kwa sumu na kupiga Domo tu?

Pale itumbi chunya Kuna jamaa aliuza shamba lake kwa million 900 lenye miamba ya dhahabu.kwa sasa kiloba kimoja kinatoa gram 500 dawa na 50 million .Tusipende kuuza vya kwetu .lakini sasa hatuna uzalendo
Mkuu

Uafrika hasa utanzania ni LAANA.

Hayo hayo aliyo yafanya huyo jamaa yako aliyeuza shamba ndio yanafanywa na viongozi wakubwa wa nchi.

Hadi kufikia hapa, unaona ni jinsi gani utanzania ni LAANA.
 
Taifa linaloabudu watu wenye vihela hata kama ni wajinga na mafisadi wa kutupwa. Taifa lisilo na core principles zisizogusika wala kuchezewa 🚮🚮🚮
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Msukuma ni mwehu!
 
Msukuma anasema kweli, tunafahamu wapingajili humu wanapinga neno "Waarabu" na siyo maendeleo.

Waoingaji mnajisahau kuwa hata hilo neno "bandari" bila ya Waarabu lisengekuwepo.

Kama hilo halitoshi, tusisahau kuwa hata jiji hili, ambalo toka lilipoanzishwa mpaka sasa halijaacha kukuwa na leo hii ni kitovu cha biashara Afrika nashariki na ya kati linaitwa Dar es Salaam.

Dar es Salaam ni jina la Kiarabu 100% tena si jina tu, kinatoka ndani ya Qur'an.

Jiji hili lina historia kubwa na Waarabu na sasa ni wakati muafaka waliendeleze.

Hatuwezi kuibadili historia ya kweli bali tunaweza kuipotosha.

Mwenye chuki na Waarabu ajinyonge.
Tunapigania wazawa wa kisiju na rufiji na mkuranga

Na vizazi vyao

Wewe unapigani waarabu wa Dunia kisa dini
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Tatizo siyo kuona yanayofanywa Bandari ya Dubai, tatizo ni uwezo wake wa kutafasiri sheria ya kimkataba iliyomo ndani ya mkataba. Ukoloni ukoloni ukoloni bado unaendelea kwa Nchi nyingi tu hapa Africa ikiwemo Tanzania.
 
Geita imebaki mashimo matupu halafu anaibuka Msukuma na Baiskeli yake kutetea Bandari ya DSM

Ulinzi wa rasilimali huanzia Jimboni, Wilayani, Mkoani ndio Uje taifani

Watu kama Msukuma ndio huvuruga mambo ya msingi yanapokuwa Kwenye Mjadala wenye nia Njema

Mtu ana PhD ya mchongo kabisa yaani!
 
Unamuonea tu "dokita" wa watu!🤔
 
Mkataba ni Mbovu ,kikawaida ilitakiwa wapewe kulingana na investiment yao ya awali ,kama wanainvest 2T then mkataba uende mpaka deni litakapoisha baada ya hapo wale 20% ya faida kwa miaka 15 then tutaangalia baadae kama watahitajika.
Tujulize hivi trillion 2 hatuna? Hii si ni kuhairisha tu vitu vichache tunaipata. Tatizo la Tanzania sio pesa, bali ni matumizi na vipaumbele

Jana nimemsikia msigwa anasema Hawa wanakuja kuweka trillion 4, ambayo sisi tusingeweza
Msigwa anashindwa kuelewa Kuna matumizi mengi tunafanya na yanapotea zaidi ya hiyo trillion 4
 
Back
Top Bottom