Msukuma anasema kweli, tunafahamu wapingajili humu wanapinga neno "Waarabu" na siyo maendeleo.
Waoingaji mnajisahau kuwa hata hilo neno "bandari" bila ya Waarabu lisengekuwepo.
Kama hilo halitoshi, tusisahau kuwa hata jiji hili, ambalo toka lilipoanzishwa mpaka sasa halijaacha kukuwa na leo hii ni kitovu cha biashara Afrika nashariki na ya kati linaitwa Dar es Salaam.
Dar es Salaam ni jina la Kiarabu 100% tena si jina tu, kinatoka ndani ya Qur'an.
Jiji hili lina historia kubwa na Waarabu na sasa ni wakati muafaka waliendeleze.
Hatuwezi kuibadili historia ya kweli bali tunaweza kuipotosha.
Mwenye chuki na Waarabu ajinyonge.