PostGE2025 Musukuma: Chama chetu kinahitaji kutoa kauli kuhusu Oktoba 29, lazima tuangalie tulipokosea, tuchukue hatua

PostGE2025 Musukuma: Chama chetu kinahitaji kutoa kauli kuhusu Oktoba 29, lazima tuangalie tulipokosea, tuchukue hatua

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma akiwa katika mahojiano na Channel ya M&S Podcast ambayo yamechapishwa Julai 1, 2026.

..waliochukizwa na mauaji watoke wajitenge na Ccm.

..hawa wanakipenda chama chao kuliko wananchi na nchi ndio maana wameng'ang'ana humohumo na genge la mauaji ya Oct 29.
 
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma akiwa katika mahojiano na Channel ya M&S Podcast ambayo yamechapishwa Julai 1, 2026.
Screenshot_20260404-111943~2.png
 
Hii ya kumshauri mwenyekiti, Ina ukakasi wake… solution ni mikutano ifunguliwe na wao wazunguke majukwaani kujibu hoja za wapinzani wao.
Shubuuuuuuuutu. Huyo wa kujibu hoja za wqpinzani hapo Lumumba anatokea wapi?
Ivi mwananchi Leo akiuliza Humfrey polepole yupo wapi kiongozi wa ccm atajibu nn?
Nani alimshambilia dereva wa lisu?
Nani kamuua dereva wa heche?
Kwann wao tu?
 
Wenzao CHauma wazee wa ubwàbwa walikatazwa na salumu mwalimu. Yani hata yerico alikataa na akaandika kuiunga serikali mkono
Wao hawajakatazwa??????
 
Msukuma umejipanga na matusi ya kina Kihongosi na happy?
Wanakula kutukana wale watu shairi yako
 
Anaongea kinafiki kweli... Mwambie sa100 ang'atuke...
Stupid
 
Back
Top Bottom