Watoke CCM waende wapi?
..watoke Ccm na kwenda chama kingine, au waanzishe chama chao.
..mbona waliokuwa Chadema walipoona hawaendani na mifumo ya chama chao walihamia Chaumma?
..Ccm na Mwenyekiti wao wanaunga mkono utekaji na mauaji ya Oct 29, wakidai huo ndio uzalendo, na kulinda amani.
..mwana Ccm yeyote anayepinga utekaji, na kusema mauaji ya Oct 29 sio halali, anapaswa kuhama chama.
..ukiona mtu yuko Ccm, hata baada ya Oct 29, uwezekano mkubwa ni kwamba anapenda chama chao kuliko wananchi, na Tanzania.