Musukuma: Leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana. Amuimbia Samia Bungeni

Casuist

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
1,189
Reaction score
2,970
Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.

Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia

Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.

[emoji205][emoji205][emoji205]
20220522_145738.jpg
 
Tatizo la ccm wanashindwa kutofautisha serikali na chama hasa katika mfumo wa vyama vingi, state house sio mali ya CCM,Ile ni ya watanzania wote,na ccm waelewe kuwa center of power ipo Lumumba sio ikulu, upumbavu unasumbua mno
 
Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.

Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia

Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
Ikulu ni mali ya Watanzania kila mtu ana haki ya kwenda
 
Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.

Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia

Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
SUKUMA GANG wanaumia sana Msukuma ni SUKUMA GANG kwa Asilimia 100 ndio hao WAPINZANI wa UTAWALA wa AWAMU ya 6

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Sukuma Gang hawaamini kinachoendelea TANZANIA chini ya RAIS SAMIA

Sukuma Gang waliaminishwa na Magufuli kuwa IKULU ni ya Wanaccm tu Wakati IKULU ni Jengo la SERIKALI kila Mtanzania anaruhusiwa Kwenda AKIITWA.

Tumemsikia Mbunge MSUKUMA kwa MAUMIVU Makubwa anaonekana AMEUMIZWA sana na Kitendo cha Mh.RAIS SAMIA kufanya MAZUNGUMZO na Mh.MBOWE IKULU.

Niliamini MBUNGE mwenye HOJA angewapigania Wapiga kura wake kutatua CHANGAMOTO zao badala yake ANAUMIA Mh.RAIS kukutana na Mh.Mbowe IKULU
 
Mwambieni huyu Fala kuwa mbowe amecheza Mpira ikulu enzi hizo za utoto wake hata jina la Freeman alipewa na mwl Nyerere hata kipindi mbowe anapata ubatizo Nyerere alikuwa babayake mwakilishi....
mwenzio mbowe ikulu anaijua ndani-nje kitambo muulize makongoro Nyerere atakuambia kuhusu mbowe.

hawa mafala kama msukuma kipindi anachunga ng'ombe kwao mbowe anapiga hela za billcanus
 
Back
Top Bottom