Musukuma: Leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana. Amuimbia Samia Bungeni

Musukuma: Leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana. Amuimbia Samia Bungeni

Msukuma na mjini wapi na wapi? Kutokea geita na kununua kiwanja mikocheni au kinondoni haimaanishi unaujua mji, mji una code zake ambazo makonda kamwe hatozijua isipokua nape anaishi nazo

Namnanga yeye maana ni mshamba au tuseme kakulia zizini na mwenzie mpiga debe
 
..katika mazingira hayo tunapaswa ku-deal na Ccm.

..huu mchezo wa kurubuni wapinzani ili kuficha mapungufu na uzembe wao ktk kuongoza nchi ni lazima ufike mwisho.

..na tukumbuke kwamba hizo fedha wanazotumia " kununua " wapinzani ni fedha za umma, sio fedha binafsi za Ssh, Kinana, au Mpogolo.
Nani anajali?

Muhimu pesa ipo ni kuchota tu na kugawia wachache 'wanaotupigia' kelele wakati wa kula ili kuwaziba au wawe sehemu yetu. Ni uongo kudhani kuna mtu anapambana kufika pale kwa ajili ya wengine, huku ni kujiongopea sana.
 
Nani anajali?

Muhimu pesa ipo ni kuchota tu na kugawia wachache 'wanaotupigia' kelele wakati wa kula ili kuwaziba au wawe sehemu yetu. Ni uongo kudhani kuna mtu anapambana kwa ajili ya wengine, huku ni kujiongopea sana.

..tunadanganyana.

..tishio ni maskini wanaoongezeka kila kukicha.
 
Namnanga yeye maana ni mshamba au tuseme kakulia zizini na mwenzie mpiga debe

Mbowe mtoto wa mjini yaani sehemu mfano awepo mbowe na joe kusaga halafu sehemu nyingine awepo msukuma na makonda utajua yupi mtoto wa mjini, halafu mbowe kuingia ikulu hajaingia ukubwani hata Baba yake wa ubatizo ni Nyerere so viwanja vya ikulu au kuhang na wakubwa hajaanza leo, sawa na zitto na mbowe utaelewa mwanakijiji ni yupi na wamjini ni yupi
 
..Joseph Musukuma ameishaasi Sukuma Gang.

..sasa hivi kahamia kundi la Msoga.

..Na nilimsikia akiwatetea kwamba hawakuhusika na kifo cha Jiwe.
 
Mbowe mtoto wa mjini yaani sehemu mfano awepo mbowe na joe kusaga halafu sehemu nyingine awepo msukuma na makonda utajua yupi mtoto wa mjini, halafu mbowe kuingia ikulu hajaingia ukubwani hata Baba yake wa ubatizo ni Nyerere so viwanja vya ikulu au kuhang na wakubwa hajaanza leo, sawa na zitto na mbowe utaelewa mwanakijiji ni yupi na wamjini ni yupi

What’s wrong with you guys
Mbona lugha zinagongana sana humu
Mimi namuongelea msukumu sio Mbowe
Sorry kama hukuelewa hivyo
 
Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.

Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia

Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.

View attachment 2239281
Leo ndio nimeamini Msukuma anatumia kijiti sio bure!
 
Back
Top Bottom