Musukuma: Leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana. Amuimbia Samia Bungeni

Tatizo la ccm wanashindwa kutofautisha serikali na chama hasa katika mfumo wa vyama vingi, state house sio mali ya CCM,Ile ni ya watanzania wote,na ccm waelewe kuwa center of power ipo Lumumba sio ikulu, upumbavu unasumbua mno
Sasa Musukuma na shule wapi na wapi?
 
SUKUMA GANG wanaumia sana Msukuma ni SUKUMA GANG kwa Asilimia 100 ndio hao WAPINZANI wa UTAWALA wa AWAMU ya 6

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kaungana na chadema kuwa upinzani au ninyi sa hv ni sehemu ya ccm siyo wapinzani bali ni watawala ndo maana mko kama mnaishi ikulu siku hizi?
 
Mwisho wa siku na hasa karibu za chaguzi ,CCM na mwenyekiti wao watamgeuka na kumdhalilisha na zaidi kumwambia ulikaribishwa kunye kahawa tu ,Mbowe afanye analofanya alimuradi aachane na ikulu kishujaa na isiwe kimya kimya,kwani kimya kimya ina hasara zake nazo ni hizo mwisho wa siku kupewa makavu na miccm.
 
Ukweli ni kwamba kwa wakati huu Mbowe hana tena nguvu za kupambana na ccm; ameingia mdomoni mwa VascoDagama kwishney!
Afanye busara amuachie kijiti mtu mwingine.
 
Mwisho wa siku na hasa karibu za chaguzi ,CCM na mwenyekiti wao watamgeuka na kumdhalilisha na zaidi kumwambia ulikaribishwa kunye kahawa tu ,Mbowe afanye analofanya alimuradi aachane na ikulu kishujaa na isiwe kimya kimya,kwani kimya kimya ina hasara zake nazo ni hizo mwisho wa siku kupewa makavu na miccm.
Mbowe ana akili timamu siyo Mrema au Lipumba
 
Siku ya siku mtayasikia ya 30 na .com, tushasema humu Mbowe kashafika bei lakini bado mmekaza fuvu.!
 
Mwisho wa siku na hasa karibu za chaguzi ,CCM na mwenyekiti wao watamgeuka na kumdhalilisha na zaidi kumwambia ulikaribishwa kunye kahawa tu ,Mbowe afanye analofanya alimuradi aachane na ikulu kishujaa na isiwe kimya kimya,kwani kimya kimya ina hasara zake nazo ni hizo mwisho wa siku kupewa makavu na miccm.
Ndiyo ushamaliza kuandika post?🥺
 
Mwisho wa siku na hasa karibu za chaguzi ,CCM na mwenyekiti wao watamgeuka na kumdhalilisha na zaidi kumwambia ulikaribishwa kunye kahawa tu ,Mbowe afanye analofanya alimuradi aachane na ikulu kishujaa na isiwe kimya kimya,kwani kimya kimya ina hasara zake nazo ni hizo mwisho wa siku kupewa makavu na miccm.
Ikulu ya Ufipa?
 
Siku ya siku mtayasikia ya 30 na .com, tushasema humu Mbowe kashafika bei lakini bado mmekaza fuvu.!

..katika mazingira hayo tunapaswa ku-deal na Ccm.

..huu mchezo wa kurubuni wapinzani ili kuficha mapungufu na uzembe wao ktk kuongoza nchi ni lazima ufike mwisho.

..na tukumbuke kwamba hizo fedha wanazotumia " kununua " wapinzani ni fedha za umma, sio fedha binafsi za Ssh, Kinana, au Mpogolo.
 
Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.

Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia

Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
Hili bunge la Tulia ni bonge ya kitchen party.
 
Ana hamu ya kujua huwa wanaongea nini ila hana pa kuuliza [emoji23][emoji23]
Mjini ni kuzaliwa sio kukulia

Msukuma na mjini wapi na wapi? Kutokea geita na kununua kiwanja mikocheni au kinondoni haimaanishi unaujua mji, mji una code zake ambazo makonda kamwe hatozijua isipokua nape anaishi nazo
 
Akili yake ndipo ilipokomea, serikali iharakishe mswada wakuondoa std 7 bungeni ili kuepukana na hizi hasara!
 
Back
Top Bottom