Musukuma: Leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana. Amuimbia Samia Bungeni

Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.

Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia

Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.

View attachment 2239281
Ajiandae Kufungasha 2525 crechelism
 
Inaelekea Spika anadharauliwa.... Wameanza na Sarakasi, magoti sasa Kawimbo kidogo.
 
Hawa watu badala ya kuwa wawakilishi wa wananchi na kuisimamis Serikali wamekuwa wawakilishi wa Serikali na kumsimamia mwananchi
 
Msukuma anaona nongwa Maongezi ya Mbowe na Samia kuzaa Tanzania mpya ya kidemokrasia
Msukuma pamoja na kibajaji ni wachekeshaji Wala siyo wanasiasa.Wako katika bunge kuchekesha .Wangekuwa na uwezo kama rais wa Ukraine ningewafagilia.
 
Huko bungeni siku hizi ni upuuzi mpya kila siku.
 
Huyu Mzee kashaacha kubugia mi-moshi ati dawa ya corona?
 
Msukuma ni kinyonga na ni sukuma gang anadhani Mbowe ameanza kwenda ikulu juzi hajui tangu enzi za Nyerere Mbowe alikuwa na access ya ikulu wakati huo yeye msukuma yupo kijijini kwao anachunga ng'ombe wa baba yake.
 
Msukuma ana ona nongwa maana yeye na mwenda zake walikuwa genge moja la mauaji ya raia.
Msukuma ndie alie kodi vijana wa kumuua Mawazo.
 
Tatizo la ccm wanashindwa kutofautisha serikali na chama hasa katika mfumo wa vyama vingi, state house sio mali ya CCM,Ile ni ya watanzania wote,na ccm waelewe kuwa center of power ipo Lumumba sio ikulu, upumbavu unasumbua mno
umesahau mwenyekiti wa chama ccm ndiye rais wa jamhuri???

wewe ukibisha bisha tu upate kiu ya maji.
 
Mambo mengine ya kijinga kweli upo utaratibu wakwenda Ikulu , ila huyu prof uchwara ajue Ikulu ni ya watanzania , ukifuata taratibu bila kujali na Mbowe au nani utafika

Back
Top Bottom