Ikulu ni mali ya Watanzania kila mtu ana haki ya kwendaMusukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia
Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
SUKUMA GANG wanaumia sana Msukuma ni SUKUMA GANG kwa Asilimia 100 ndio hao WAPINZANI wa UTAWALA wa AWAMU ya 6Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia
Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
Ndiyo naitwa Dr. Joseph Kasheku MsukumaMsukuma kumbe ni dr?
Wabunge wengi CCM hawapendi cdm na CCM wapatane. Coz Wanajua ubunge wao wa kimchongo 2025 haupo Tena.
Dr wa kukamatia ngombe apandwe!Ndiyo naitwa Dr. Joseph Kasheku Msukuma
Mbowe kuonana na Samia ni matakwa ya chama au utashi wa mwenyekiti?Msukuma anaona nongwa Maongezi ya Mbowe na Samia kuzaa Tanzania mpya ya kidemokrasia