Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia
Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
View attachment 2239281
Alitunukiwa PhD ya heshima na chuo flan cha nje.Huyu dr wa nini?
unajua mambo mengine ni aibu tupu!
Mbona mnaharibu shule za watu jamani?
Huyu kilaza kumwita dr ni kuharibu taaluma za watu.
Mbowe akijikomba IKULU ni sawa lakini Lipumba akijikomba IKULU inakuwa nongwaMusukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia
Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
View attachment 2239281
Anahofia kujulikana waliotumwa kumwua Alphonce Mawazo, na yule aliyewatumaMsukuma anaona nongwa Maongezi ya Mbowe na Samia kuzaa Tanzania mpya ya kidemokrasia
Takataka darasa la Saba maviMusukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia
Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
View attachment 2239281
Mbowe akijikomba IKULU ni sawa lakini Lipumba akijikomba IKULU inakuwa nongwa
Elimu muhimu, watu wanafikiri Baraza la mawaziri ni kama Baraza la Eid, lazima litangazwe na mapichapicha!ukimaanisha kwamba waziri mkuu ni mtoro hahudhurii vikao vya baraza la mawaziri?
Huyu Mzee mnafiki sana Mwaka 2015 wakati Lowassa anazindua Kampeni zake kukusanya Wadhamini kila Mkoa Ccm Msukuma alienda Arusha kwenye huo Uzinduzi wa LowassaMusukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia
Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
View attachment 2239281
Darasa la 7 shida sana Magufuli aliwadanganya kuwa IKULU ni Jengo la CCM tu leo MSUKUMA akiona MBOWE ameenda IKULU na huku Sio Ccm MOYO wake Unataka KUPASUKATatizo la ccm wanashindwa kutofautisha serikali na chama hasa katika mfumo wa vyama vingi, state house sio mali ya CCM,Ile ni ya watanzania wote,na ccm waelewe kuwa center of power ipo Lumumba sio ikulu, upumbavu unasumbua mno
ni shida sana. vijana wa ccm wana hitilafu kubwaElimu muhimu, watu wanafikiri Baraza la mawaziri ni kama Baraza la Eid, lazima litangazwe na mapichapicha!
Tupeane elimu aisee! General studies, social studies tokea primary!
Hii ndio demokrasia mama anafata nyayo za Mzee wetu Jakaya[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2239237
Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia
Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
Hi
Haka kajamaa ni shida. Ni muumini wa vurugu za awamu ya 5, kwa Rais Samia kurejesha mshikamano wa Kitaifa, haka kajamaa kanaumia balaa.Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia
Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
View attachment 2239281
Utaimba utachoka, ona hata vikao vya CCM vilifanyiwa Ikulu ndo ujue hawajui jutofautisha.Tatizo la ccm wanashindwa kutofautisha serikali na chama hasa katika mfumo wa vyama vingi, state house sio mali ya CCM,Ile ni ya watanzania wote,na ccm waelewe kuwa center of power ipo Lumumba sio ikulu, upumbavu unasumbua mno