Sasa Musukuma na shule wapi na wapi?Tatizo la ccm wanashindwa kutofautisha serikali na chama hasa katika mfumo wa vyama vingi, state house sio mali ya CCM,Ile ni ya watanzania wote,na ccm waelewe kuwa center of power ipo Lumumba sio ikulu, upumbavu unasumbua mno
Kwa hiyo kaungana na chadema kuwa upinzani au ninyi sa hv ni sehemu ya ccm siyo wapinzani bali ni watawala ndo maana mko kama mnaishi ikulu siku hizi?SUKUMA GANG wanaumia sana Msukuma ni SUKUMA GANG kwa Asilimia 100 ndio hao WAPINZANI wa UTAWALA wa AWAMU ya 6
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Ukweli ni kwamba kwa wakati huu Mbowe hana tena nguvu za kupambana na ccm; ameingia mdomoni mwa VascoDagama kwishney!Mwisho wa siku na hasa karibu za chaguzi ,CCM na mwenyekiti wao watamgeuka na kumdhalilisha na zaidi kumwambia ulikaribishwa kunye kahawa tu ,Mbowe afanye analofanya alimuradi aachane na ikulu kishujaa na isiwe kimya kimya,kwani kimya kimya ina hasara zake nazo ni hizo mwisho wa siku kupewa makavu na miccm.
Mbowe ana akili timamu siyo Mrema au LipumbaMwisho wa siku na hasa karibu za chaguzi ,CCM na mwenyekiti wao watamgeuka na kumdhalilisha na zaidi kumwambia ulikaribishwa kunye kahawa tu ,Mbowe afanye analofanya alimuradi aachane na ikulu kishujaa na isiwe kimya kimya,kwani kimya kimya ina hasara zake nazo ni hizo mwisho wa siku kupewa makavu na miccm.
Hata Mandela alikaa mezani na Makaburu, Mbowe he is rightUkweli ni kwamba kwa wakati huu Mbowe hana tena nguvu za kupambana na ccm; ameingia mdomoni mwa VascoDagama kwishney!
Afanye busara amuachie kijiti mtu mwingine.
Mbowe ana.tofauti gani na Mrema?Mbowe ana akili timamu siyo Mrema au Lipumba
Utajua nini na wewe UWT?Mbowe ana.tofauti gani na Mrema?
Fikira za mwenyekiti hazitiliwi shaka au sio.!Hata Mandela alikaa mezani na Makaburu, Mbowe he is right
Hata za maza ako ni sahihiFikira za mwenyekiti hazitiliwi shaka.
Ndiyo ushamaliza kuandika post?🥺Mwisho wa siku na hasa karibu za chaguzi ,CCM na mwenyekiti wao watamgeuka na kumdhalilisha na zaidi kumwambia ulikaribishwa kunye kahawa tu ,Mbowe afanye analofanya alimuradi aachane na ikulu kishujaa na isiwe kimya kimya,kwani kimya kimya ina hasara zake nazo ni hizo mwisho wa siku kupewa makavu na miccm.
Tupe tofauti ya hawa Mangi wawiliUtajua nini na wewe UWT?
Kutawala nyumbu kama hizi raha sana, chama kimebaki 'dole' moja bado zinakenua tu!Hata za maza ako ni sahihi
Ikulu ya Ufipa?Mwisho wa siku na hasa karibu za chaguzi ,CCM na mwenyekiti wao watamgeuka na kumdhalilisha na zaidi kumwambia ulikaribishwa kunye kahawa tu ,Mbowe afanye analofanya alimuradi aachane na ikulu kishujaa na isiwe kimya kimya,kwani kimya kimya ina hasara zake nazo ni hizo mwisho wa siku kupewa makavu na miccm.
Siku ya siku mtayasikia ya 30 na .com, tushasema humu Mbowe kashafika bei lakini bado mmekaza fuvu.!
Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia
Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
Hili bunge la Tulia ni bonge ya kitchen party.
Na mumeo naye pia ni nyumbuKutawala nyumbu kama hizi raha sana, chama kimebaki 'dole' moja bado zinakenua tu!
Ana hamu ya kujua huwa wanaongea nini ila hana pa kuuliza [emoji23][emoji23]
Mjini ni kuzaliwa sio kukulia