Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Msukuma na mjini wapi na wapi? Kutokea geita na kununua kiwanja mikocheni au kinondoni haimaanishi unaujua mji, mji una code zake ambazo makonda kamwe hatozijua isipokua nape anaishi nazo
Nani anajali?..katika mazingira hayo tunapaswa ku-deal na Ccm.
..huu mchezo wa kurubuni wapinzani ili kuficha mapungufu na uzembe wao ktk kuongoza nchi ni lazima ufike mwisho.
..na tukumbuke kwamba hizo fedha wanazotumia " kununua " wapinzani ni fedha za umma, sio fedha binafsi za Ssh, Kinana, au Mpogolo.
Usiogope, naingiza kichwa tu.Na mumeo naye pia ni nyumbu
Kwa maza ako?Usiogope, naingiza kichwa tu.
Sijali.Kwa maza angu?
Nani anajali?
Muhimu pesa ipo ni kuchota tu na kugawia wachache 'wanaotupigia' kelele wakati wa kula ili kuwaziba au wawe sehemu yetu. Ni uongo kudhani kuna mtu anapambana kwa ajili ya wengine, huku ni kujiongopea sana.
Haichekeshi.Mbowe ameenda ikulu mara nyingi zaidi ya waziri mkuu Majaliwa
Namnanga yeye maana ni mshamba au tuseme kakulia zizini na mwenzie mpiga debe
Hahaha.. Upinzani wa Tanzania ni vituko sana.[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2239237
Mbowe mtoto wa mjini yaani sehemu mfano awepo mbowe na joe kusaga halafu sehemu nyingine awepo msukuma na makonda utajua yupi mtoto wa mjini, halafu mbowe kuingia ikulu hajaingia ukubwani hata Baba yake wa ubatizo ni Nyerere so viwanja vya ikulu au kuhang na wakubwa hajaanza leo, sawa na zitto na mbowe utaelewa mwanakijiji ni yupi na wamjini ni yupi
Leo ndio nimeamini Msukuma anatumia kijiti sio bure!Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia
Mbunge Musukuma alikuwa akichangia hoja ya tuzo lakini alizimiwa mic baada ya kuimbisha bunge wana imani na Samia akidai wasukuma wakifurahi hawana maneno mengi wala hawaruki sarakasi badala yake wanaimba.
View attachment 2239281