Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Tunaweza kuutafsiri tutakavyo na kwa mitizamo tofauti lakini walioleta mswada wako "myopic" hawaoni mbali kabisa na wanaleta mgawanyiko mkubwa katika vyombo vya usalama (kwa viongozi wa vyombo hivyo wanaojitambua).Watekelezaji wakubwa wa uvunjifu wa haki za raia ni vyombo vya dola lakini waleta mswaada wamewaacha DG TISS,IGP,CDF na wengine.Hawa ndio wako likely kuvunja haki za raia kwa kiwango kikubwa katika kuteleza maagizo wa viongozi wao wa kisiasa.Sioni CJ katika hili wamemuweka kwani nini kwani ana njia nyingi yeye za kuchomoka. Huu mswaada inawezekana ni ku spin mambo lakini binafsi naona hauna siha kwa Taifa letu.Tunatizamwa na taa ya dunia na wakubwa hawa wakiamua ku act,tutatafutana hapa.Viongozi wajirekebeshe na watende mema kwa mujibu wa katiba na wataishi a happy retired life.
 
Acha tu wabadili km watu mnakuja kulialia huku kwenye jukwaa badala ya kudai palipo sahihi
 
Eti ndio wanamuabudu na kumwimbia mapambio, mzarendo huyo
 
Ukiwatendea wenzio uovu usipostakiwa nchini utastakiwa nje pia,Hakuna chance ya kukwepa kuwajjbishwa
 
kiukweli hizi nchi zetu za.kiafrika ili uweze kuwashinda mabeberu huna budi kupingana na katiba ya nchi yako kwenye maslahi yao waliyoyachomeka katika hiyo katiba,
Mawazo ya kipumbavu haijawahi kutokea.
Toka lini katiba yetu ikatungwa na mabeberu??
Mnataka kutuambia kwamba Nyerere alikuwa beberu??
Katiba yetu ilitungwa wakati wake,kama una maana hiyo tukufu basi ili kuona namna ya kushughulikia kwa kujibu wa katiba yetu Nyanga'au wewe!
 
Hiyo sheria itapita kama mtaipenda lakini kama hamuipendi mnao uwezo wa kuikataa na njia sashihi ni kuwakataa hao wanaokuja na hizo sheria kwa kuchagua watu ambao hawapendezwi na masheria kama hayo haya chaguo ni letu
 
Mkuu ukiona mtu anapenda sana kuwekewa kinga ujuwe ni MWOVU.Kama mwema na unatenda HAKI. Kinga ya nini?. Au unakusudia kutenda MAOVU.
 
Wote wame paralyze kwa hofu ya kutumbuliwa. Kila mtu anaitikia ndio ndio, idara za usalama kama kweli wana uzalendo wa kweli kwa taifa ndio watu pekee wenye uwezo wa kumfunga paka kengele.
 
Maana yake ni kuwa Katiba inaamana kwa Magufuli pale inapotumika kulinda madaraka yake bali pale katiba ilipoweka taratibu zinazopaswa kufuatwa na watu wastarabu na inamzuia yeye kufanya ushenzi wake basi katiba inageuka kutokuwa na maana kwake
 
Wenye nchi (watawala) wameamua kutunga sheria ya kujilinda.
 
Mtoa maada unamulaumu nani CCM,RAIS,MAGUFULI, WANANCHI,SELIKALI,. Unalalamika nini, kitu gani mswaada gani. Sikuelewe. Muache rais wetu nani aliyemchagua, .awe mfalme ivi mfalme anachaguliwa kura za wananchi, acha ku mambo yako
 
Rais magufuli ni rais bora na mtumishi mwaminifu kuwa tumikia watu na wanademocrasia bora afrika na duniani. Ni rais anaye waokoa na kuwa jari watu kipato cha chini. imeonyesha haki,usawa na democrasia ya kweli katika vita corona,hajamfungia hata mtu mmoja afe na njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…