Kuna beberu kakutungia katiba?kiukweli hizi nchi zetu za.kiafrika ili uweze kuwashinda mabeberu huna budi kupingana na katiba ya nchi yako kwenye maslahi yao waliyoyachomeka katika hiyo katiba,
Tupaze sauti hata kwenye social media kuzuia huu mswadaNi jambo la ajabu sana, marais wengine wamepita bila kufanya ujinga huu lakini huyu wa sasa kila kukicha anapeleka miswada ya ajabuajabu bungeni.
Beberu Nyerere sijui[emoji848][emoji848][emoji848]Kuna beberu kakutungia katiba?
CCM haiondolewi kwa kura mkuuHuu mswada ukipitishwa Ccm jiandae kuondoka mapema sana October
SAA NNE hasubui iwe mvua I we jua .tutapiga kura kwa hasira.
Unapomtukana mkuu wa nchi unakuwa umejikosea adabu wewe na mke wako. Kwa tabia hii ya upumbafu wako na ujinga wa kinyumbu nyie ndiyo mnasababisha mtu ajue mwenendo wenu wa nini mnachokusudia na mabeberu yenu,Yaani hili suala ni kaburi kwa utawala wa Sharia. Magufuli mpumbavu sana. Ni nini kapanga kufanya ?Hadi anapeleka mswada wa kipumbavu namna hii bungeni ?
Kamsema Mwele Malecela kwa kumuita Mgogo.Halafu Magufuli ndio anajiita mtetezi wa wanting wakati anatengeneza matabaka. Analeta ukoloni mpya
Mkuu wa nchi ni binadamu kama wewe. Akiwa mkuu wa nchi ubinadamu unamtoka na anakuwa saint ?Unapomtukana mkuu wa nchi unakuwa umejikosea adabu wewe na mke wako. Kwa tabia hii ya upumbafu wako na ujinga wa kinyumbu nyie ndiyo mnasababisha mtu ajue mwenendo wenu wa nini mnachokusudia na mabeberu yenu,
Na kweli hata sisi tunaoendelea kunyamazia ujinga unaondelea ni watu wa ajabu. Hatuna tofauti na wasomi njaa na maprofesa wachumia tumbo walioko madarakani. WOTE tunatenda dhambi kubwa kwa TAIFA na NCHI yetu.Hata sisi tunaoendelea kuwashabikia na kuwachagua nasi ni watu wa ajabu!
Hakuna sehemu hata moja aliyoitwa saint. Mbona mzee nyerere na mzee moi walikuwa wanaitwa mtukufu, kipi cha ajabu chini ya jua?Mkuu wa nchi ni binadamu kama wewe. Akiwa mkuu wa nchi ubinadamu unamtoka na anakuwa saint ?