Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Nachokiona mbele kuna jambo kubwa laweza kuja na kwa kuwa tumekubal kutii kila wanchohtaj watawala hili litapta kwa mapambio na vifijo,tumeanza kwa viongozi wa mihimili kisha watafuatia wale wote waliomo ktk hyo mihimili kupewa kinga na hakuna chochote kitakachotoke.
Hii nchi ukiwa mwenye tafakuri n ngumu sana kuishi,wacha tusubr na tuone.
 
Katiba yenyewe ya kipuuzi inamruhusu kuivunja hiki ndio Nyerere aliwahi kisema. Tuombe Mungu pepo la kujiongezea muhula lisimkumbe tu.
 
Watz tukifumbia macho hii ikawa sheria mjue hii nchi tyar imetawaliwa kidictator na kizazi jetu kitatuona maboya kweli.
 
Awamu ya pili hakuna rangi hatutaiona.Mpaka wake zenu wataingiliwa na msiwashtaki.Wanaume wa nchi hii watakuwa wachache kwa kweli
 
Yaani hili suala ni kaburi kwa utawala wa Sharia. Magufuli mpumbavu sana. Ni nini kapanga kufanya ?Hadi anapeleka mswada wa kipumbavu namna hii bungeni ?
Unapomtukana mkuu wa nchi unakuwa umejikosea adabu wewe na mke wako. Kwa tabia hii ya upumbafu wako na ujinga wa kinyumbu nyie ndiyo mnasababisha mtu ajue mwenendo wenu wa nini mnachokusudia na mabeberu yenu,
 
Huyu jamaa sijui anapanga kufanya nini sasa. Ana kinga tayari kwa katiba ya sasa. Anataka kinga zaidi ya nini? Kinga mpaka kwa wanaomzunguka ya nini? Kuna kitu amepanga kufanya zaidi ya maovu aliyokwisha fanya tayari?
 
Ninaimani viongozi wetu wataufupisha mswada huu mara moja ili kujenga heshima ya demokrasia
Viongozi hawa wakuu wa nchi wanapoingia madarakani wanaapa kulinda katiba ya nchi. Sasa endapo watakiuka na kuvunja katiba kwa namna yo yote ile wanapaswa kuwajibika au kuwajibishwa.

Kitendo cho chote cha kuwalinda kwa uvunjifu wa katiba ni uhaini. Muswada huu wa kuwalinda viongozi hawa kwa kuvunja katiba ya nchi ni kuhalalisha uhaini, jambo ambalo hakikubaliki. Haiwezekani kabisa Rais aape kulinda katiba halafu aivunje kwa sababu yo yote ile aachwe bila kuchukuliwa hatua za kisheria.

Tanzania tutakuwa nchi ya ajabu duniani inayoamini katika demokrasia kuwa na sheria ya namna hii. Kwa namna nyingine tutakuwa tunaiambia dunia kuwa Rais wetu ndiyo katiba yetu na kwamba Rais anaweza kuichezea katiba yetu kwa kadri anavyotaka.

Wito kwa wote wapenda haki nchini kupinga muswada huu kwa nguvu zote.
[/QUOTE]
 
Halafu Magufuli ndio anajiita mtetezi wa wanting wakati anatengeneza matabaka. Analeta ukoloni mpya
Kamsema Mwele Malecela kwa kumuita Mgogo.

Anajenga ukabila, kwa kujua au kutojua.
 
Unapomtukana mkuu wa nchi unakuwa umejikosea adabu wewe na mke wako. Kwa tabia hii ya upumbafu wako na ujinga wa kinyumbu nyie ndiyo mnasababisha mtu ajue mwenendo wenu wa nini mnachokusudia na mabeberu yenu,
Mkuu wa nchi ni binadamu kama wewe. Akiwa mkuu wa nchi ubinadamu unamtoka na anakuwa saint ?
 
Hata sisi tunaoendelea kuwashabikia na kuwachagua nasi ni watu wa ajabu!
Na kweli hata sisi tunaoendelea kunyamazia ujinga unaondelea ni watu wa ajabu. Hatuna tofauti na wasomi njaa na maprofesa wachumia tumbo walioko madarakani. WOTE tunatenda dhambi kubwa kwa TAIFA na NCHI yetu.
“If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor.” – Desmond Tutu
 
Mkuu wa nchi ni binadamu kama wewe. Akiwa mkuu wa nchi ubinadamu unamtoka na anakuwa saint ?
Hakuna sehemu hata moja aliyoitwa saint. Mbona mzee nyerere na mzee moi walikuwa wanaitwa mtukufu, kipi cha ajabu chini ya jua?
 
Back
Top Bottom