Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Ha ha ha kazi ya mzizi upiojichimbia

Jamaa ana tamaa sana ana wish angeishi milele ,jamani huyu mtu apewe ukweli mchungu hapendwi na intellectuals wa era ya democracy and economic liberalization ....he is too mediocre and primitive
 
Tunalilia katiba bora siku zote tuwe na taasisi na mifumo imara na si hisani na mianya hisani ya Rais Mtawala kuamua analolitaka.
 
Sasa mbn husemi hiko kufungu kinasemaje
 
Kwanini waafrika hawajifunzi? 1980 yalitokea mambo ya aibu Liberia kwa ajili ya sheria za kukandamiza watu, wasiokuwa kwenye madaraka. Hasira zilikuwa kubwa kiasi kwamba ona walichokifinya (which I do not condone anyway), nao utu uliwaisha kabisa kufanya kitendo kama hiki ambacho hakikubaliki in all measures!.
Nadhani tuna cha kujifunza kutokana na matukio kama haya! Hatuombi haya ila tunatahadhalisha......

Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980

A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup. The minister in the photo: Cecil Dennis.
 
Mbona inatumika mpak saiz ni swala tu lakuiweka Official kweny makaratasi
 
Magufuli anatuharibia nchi.
Why haya mambo yote yafanyike?
Utaratibu uliokuwepo hapo mwanzo una shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…