Uelewa wenu ndiyo shidaMagu anaogopa nini? Kwa nini anatunga sheria ya kumlinda baada ya kustaafu ilhali yeye ni rais mwema wa wanyonge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uelewa wenu ndiyo shidaMagu anaogopa nini? Kwa nini anatunga sheria ya kumlinda baada ya kustaafu ilhali yeye ni rais mwema wa wanyonge?
Msiogope, kila kitu kibaya kina solution!Magu anaogopa nini? Kwa nini anatunga sheria ya kumlinda baada ya kustaafu ilhali yeye ni rais mwema wa wanyonge?
Unaweza kweli ukawaelewesha wanasaccos!!?😂😂.
Hebu fanya kutuelewesha.
Lazima mnyooke safari hii.Tuna Utawala Wa Hovyo Sana
Kwani sasa buo haliko chini ya AG?!
Jela ipo palepale iwe ni segerea au the Hague sheria sio msahafu.Magu anaogopa nini? Kwa nini anatunga sheria ya kumlinda baada ya kustaafu ilhali yeye ni rais mwema wa wanyonge?
Mtanyooka nyie,wekeni hata Sheria za kuzuia mfe lkn jela iko pale paleLazima mnyooke safari hii.
Hebu tueleweshe tafadhaliHakuna kitu kama hicho! Uelewa wako na mleta mada ni mdogo kwenye sheria.
Kwanini waafrika hawajifunzi? 1980 yalitokea mambo ya aibu Liberia kwa ajili ya sheria za kukandamiza watu, wasiokuwa kwenye madaraka. Hasira zilikuwa kubwa kiasi kwamba ona walichokifinya (which I do not condone anyway), nao utu uliwaisha kabisa kufanya kitendo kama hiki ambacho hakikubaliki in all measures!.

Hakuna kitu kama hicho! Uelewa wako na mleta mada ni mdogo kwenye sheria.