Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Well said
 
Mkojo wa gambe ndio najisi
 
Kama imani yako na kitabu chako ina kuruhusu wewe kunywa tu hamna namna, mbona mzee wa upako naksia fresh tu (nyagi) ila upande wenu mkuu ni waoga sna
 
Ninaendelea kukuombea uache unywaji wa mapombe yanakuzeesha vibaya
 
Mkuu, unajua maana ya Pombe?
 
Baada ya kubariki Yesu alikuwa wa kwanza kuonja. Akaona ni nzuri akaomba aongezewe, leo hii useme pombe ni dhambi. Walokole mtafakari kwa hili.
 
Hakuna Divai isiyo na kilevi enzi zile, hapakuwa na technologia ya kuhairisha fermentation.
Mkuu, kama hakukua na teknologia ya kuhairisha fermentation unathibitisha vipi kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol)?
 
Majibu ya hili swali ni vyema kama mtatumia maandiko yalioandikwa kwa lugha harisi na sio tafsiri maana wenda tafsiri ikawa na mkanganyiko
 
Yesu mwenyewe alikuwa mnywaji

18 Kwa maana Yohana Mbatizaji alikuja na akawa hali wala hanywi nao wanasema, ‘Amepagawa na pepo’. 19 Mimi mwana wa Adamu nimekuja nikila na kunywa, nao wanasema, ‘Mta zameni mlafi na mlevi; rafiki wa watoza kodi na wenye dhambi!’ Lakini hekima huthibitishwa kwa matendo yake.”
Mathayo 11:8-19
 
Ukisema divai isiyokuwa na kilevi ni sawa na kusema mbege iliyokamuliwa leo isiyo na kilevi. Kilevi kipo ndani ila bado hakijachanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…