Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #381
Well saidyaani wewe jamaa una viroja Sana una taka kutuaminisha Ile divai waliyotumia Waisrael enzi zile haikua pombe nani kakudanganya Kwa taarifa Yako ukiona neno divai kwenye bible hua hio ni pombe tu kama unabisha Nenda kasome kuhusu utamaduni wa Watu wa mashariki ya kati kutumia Divai Kwa kiingereza Wine 🍷