Unaelewa nini kwenye sentensi hii:Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Afu hizi amri walikuwa wanapewa wana wa Israel na sio mataifa ...
Usitake kuleta uelewa wako ndio uwe Biblia yenyeweUnaelewa nini kwenye sentensi hii:
Muda wangu bado?
Yesu sio KirikouMUUJIZA WA KWANZA ALIOUFANYA YESU NI KUONGEA AKIWA KICHANGA AMETOKA KUZALIWA....
Ubora wa divai uko kwenye kuiva kwake....kuiva ni kupevuka kwa kiwango cha kileoHahahaha Mkuu, unaposema kuiva unamaanisha nini?
Toa elimu tujueKwanza unafahamu neno Kilevi ni nini?
Hebu pitia kidogo hapa mtumishi.Unaweza kunionyesha andiko LOLOTE linalotaja POMBE? Walevi na walafi wa pombe hujaribu kuyapindua maandiko kwa kueneza uongo. Haya, lete aya yenye neno pombe ama alcohol.
Mimi najua divai zote zina kilevi na sijawahi iona divai isiyo na kilevi.Mkuu, hapa si suala la Ubishi, mimi nimekuomba unithibitishie kuwa Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi, mbona bado unakwepa kuutoa huo uthibitisho wa Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi?
Kama mpaka sasa haujatoa uthibitisho, unapata wapi confidence ya kusema Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi?
Na wapeni kilevi ili wasahau shida zao Kwa muda wapate kusikia nenoMimi najua divai zote zina kilevi na sijawahi iona divai isiyo na kilevi.
Kwetu Roman Cathoric ndio tunayo itumia kumega mkate na kunywa divai kwa ukumbusho wa mateso ya Bwana Yesu.
Kama wewe umeiona na unathitibisha kuwa ndiyo aliyotengeneza isiyo na kilevi yaani divai juice, basi uwanja ni wako lete huo ushahidi hapa tuusome.
Kwangu mimi ushahidi wa Kibiblia ni huu hapa unaoutaka.
Mwanzo 9:20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Je wanalewaga divai juice ?
Nilidhani umeuliza ili uekeweshwe, kumbe ulilenga kufanya mizaha!! Nikukumbushe tu neno la Mungu sio la kufanyia mizahaUsitake kuleta uelewa wako ndio uwe Biblia yenyewe
Sisi wachungaji tukiwa madhabahuni tunahubiri kuwa pombe sio kinywaji kizuri. Na kuwazuia waumini kunywa pombe halari.Na wapeni kilevi ili wasahau shida zao Kwa muda wapate kusikia neno
KRNT 9:17-1
Mzaha kivipi?Nilidhani umeuliza ili uekeweshwe, kumbe ulilenga kufanya mizaha!! Nikukumbushe tu neno la Mungu sio la kufanyia mizaha
Ni pombe kwani ukusikia alicho sema mgeni wa bwana harusiJe, divai ni pombe?
Kwaiyo yule mgeni wa bwana harusi alikuwa mwongo kwa maneno aliyo yasemaDivai hailevyi ndugu
Hakuwa cha pombe ila yesu mwenyewe kasema alikuwa anakunywa pombe sikia haya maneno ya yesu mwenyewe ...yesu anasema yohana alikuja anyi pombe wala ...wakasema ana pepo bali mimi nimekuja nakunywa wakasema mlevi na mrafiUnataka kusema YESU ALIKUWA CHAPOMBE?
Sasa wewe mbona umechanganya madesa ...unajua maana ya wasinye pombe wala divai wakupanapo kwenye hema ya kukutania ...unajua hiyo hema maana yake ni nini ? Tena wale wanao sema divai siyo pombe waje hapa wajibu kwanini mungu amekataza kunywa pombe wala divai wakutanapo kwenye hema la kukutania ? Kwani kula zabibu ni kosa kukutana kwenye hema huku umekula zabibu au juice ya zabibu ? Hapo tunaona mungu anawakataza kila aina ya kilevi kwa watu wanao taka kuingia kwenye hema ya kukutania ambayo ni hekalu.Aya ya 9.
Muwe mnasoma maandiko yenu jamani.View attachment 2066759
Divai ni pombe ndiyo maana mungu alipowaambia wana wa Israel wajitakase alikataza pia wasinywe divai ila awakukatazwa kula zabibu sasa kama divai ni maji ya zabibu yasiyo na kileo kwanini mungu alikataza kunya wakati wa kujitakasa ...tena yesu mwenyewe ana sema "yohana alikuja ali wala anywi wakasema ana pepo mimi nimekuja nakula na nakunywa wakasema mlafi na mlevi"Yes kaka. Jana nilikunywa ALTAR wine (divai ya madhahabuni) nikalewa.