Muungano bado una shida nyingi tusidanganyane

Hakuna namna yoyote ile inayoonyesha kuwa hii namba ina uhusiano na tanzania hata kidogo. Sijui wanamaanisha nini hawa watu, na hakuna aliyepinga kuwa hivi.
Sasa upinge nini na Zanzibar wana serikali yao na bendera yao?

Rudisha Tanganyika yako, mambo yao yanakuhusu nini wewe?
 
Unaposema tanzania bara lazima useme Tanzania visiwani, lakini unapotaka kuitaja Zanzibar ni lazima pia uitaje Tanganyika. Wazee wetu wanaogopa kulitaja jina la Tanganyika kabisa, nadhani kila aliyelitaja alikiona cha mtemakuni au alipotea kabisa.
Kumbe unajua!
 
Nia ni kuuwa Uislam na ndicho kinachompa utakatifu.

Ana lipi lingine zaidi?
Na wewe na kukaa Marekani miaka yote ile unaukubali huo ujinga? Marekani mwenyewe kashindwa kuua uislam huko kwake.

Waislam walikuwepo Tanganyika na wataendelea kuwepo.
 
Nikiwa naendesha mjukuu aliyekaa ktk siti yangu ya mbele, we ulikuwa umesimama wakati unaendesha. Total confusion. Rudia kusoma ulichoandika. Kwa ujumla huwezi kujenga hoja ingawa huu muungano ni tunu ya Taifa na muundo wake umekubaliwa na pande zote mbili. We kafanye kazi muundo wa muungano siyo chanzo au sababu ya umaskini wako
 
We ni zuzu km mleta mada, hakuna mtoto hapo ni yeye mwenyewe. Huyo mtoto hajakutana na DFP, PT, JWTZ, SU, MT, hakuuliza hizo ni nchi gani? Nchi hii mazuzu ni mengi sana.
 
Majukumu mengine ni mbumbumbu
 
Zanzibar imeamua kuichuna Tanganyika. Hivi kwa akili za kawaida inawezekana mtu anayetoka kwenye ki-Nchi swa na mkoa wa Tabora

Say whaaaaat?

Tema mate chini na uwaombe radhi watu wa Tabora!

Zanzibar hailingani hata na wilaya moja ya Tabora

Zanzibar kilomita za mraba 2,462

Sikonge kilomita za mraba 27,873


Zanzibar inaingia Sikonge mara kumi na moja!

Nyerere alikuwa amekunywa chakari siku anatuingiza chaka la Muungano

 
Sasa huon tulivyo wajinga? Yaani mtu anatoka ndani eneo dogo kias hiki ndio anapewa mamlaka ya kutuongoza?.
 



Ni kama Wilaya moja fulani kwa Tanganyika.

Tena labda Wilaya ya mkoani maana za Dar population zake ni kubwa maradufu.
 



Halafu pamoja na hayo maendeleo bado , yatupasa kumrudia Mwenyezi Mungu na kujitafakali.

Huenda kuna kitu au mambo hayajakaa Sawa kihaki mahala .
 



Hata Ulaya miungano yao haikuwahi kufuta majina halisi ya nchi wanachama.

Sijui huku kuna tatizo gani?
 
Sasa upinge nini na Zanzibar wana serikali yao na bendera yao?

Rudisha Tanganyika yako, mambo yao yanakuhusu nini wewe?
Hakuna shida yoyote Ile nyie kuwa na serikali yenu, tatizo ni kwa wazanzibar wamejaa Huku Tanganyika kwa mwamvuli wa Tanzania ambayo hamuitaki. Ondokeni basi ili tujue hamtaki kuwa Tanzania.
 
Hiyo ni reasoning ya kitoto kabisa. Reasoning kama hiyo hutaweza kui defend siku zote na mara zote milele, Iko siku itazidiwa hoja.

Kuna mpuuzi mmoja anataka turejeshe ligi ya muungano ambayo ilikuwepo na watu kwa ulevi wa kuuchukia muungano wakajitoa kwa kudai kuwa Zanzibar ni nchi iwe na ligi yake kamili na uwanachama wa FIFA.
 
Uvunjwe haraka sn na wazanzibar warudi kwao
Mi nadhani usivunjwe, faida zipo nyingi sana. Na mara nyingi kama sio mara zote miungano ya nchi duniani huwa hairekebishwi bali inarithiwa na kulindwa kwa nguvu zote, USA, UK, China, Spain, nk Ina malalamiko mengi sana lakini ni mwiko kujadili muungano. Hapa kwetu kila siku Kuna upande mmoja ndio unautekenya muungano bila kuchukuliwa hatua, lakini upande mwingine ukiutekenya hatua zinachukuliwa mara moja.
 
Tueleweshe mkuu mm n mjukuu wangu. Ile T621 DTY kwenye namba ya gari "T" ni kifupi cha nini? na kwenye ile gari ya mbele yenye namba Z 293ABL "Z" ni kifupi cha nini? na je Z sio sehemu ya T?
Na Zanzibar Haina usajili wa Z 456 halaf zikawa herufi Zaid ya mbili yaan kama ulivyosema abl Huwa ni an,jk,hm nk
 
Hii nchi bila kujitoa ufahamu hatutafikia
Kuna watu wanafaidika sana na huo muungano na ukiligusa swala la muungano wanatoa matusi yote ya nguoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…