Zanzibar has a great future chini ya muungano kama wakiamua. Sidhani kama wanaweza kujimudu peke yao. Natumia sidhani maana sida economic au social data za ku-support hii and i have no time to research.
acha kudanganya watu wewe mshamba! kama bara waifadhili Zanzibar ,sasa Zanzibar haitaki kufadhiliwa na bara. kila mtu aangalie mpango wake. huu muungano ni kutiana umasikini tu. hali ya maisha ni mbovu Zanzibar kwasababu ya muungano!Fact: zanzibar mwaka jana wamekusanya kodi $20m kwa mwaka na wamesamehe $19m. (ilikua ni mzozo sana mwaka jana kwenye baraza la wawakilishi). bara wanakusanya kodi $300m kwa mwezi na sio $20m kwa mawaka. Kwa hiyo ukae ukijua bajeti ya zanzibar inafadhiliwa na bara.
hatutaki muungano. huu muungano ndio unaitia zanzibar umasikini. kila mtu aangalie mpango wake. munatuleta wizi wa mali asili. hebu jiulize wewe unafaidika na nini kutoka katika maadini ya bara. sisi hatutaki. zanzibar can be better without so called "muungano" please try to fix your own problems first before you talk about zanzibar.Kinacho boa ni Z'bar kila kitu sasa wanataka kufanya kivyao na hawaishi kulalamika. Wana serikali yao wenyewe, bendera yao wenyewe, national anthem yao wenyewe etc which is more than Bara can say. Hivi wana ringia nini haswa? Hata airport ya kimataifa I doubt wanayo. I think as time goes by wazanzibar are getting facts & dreams confused na ever since haya mafuta yagunduliwe ndiyo imekuwa tabu kabisa. Wamekuwa kama watoto wanaotaka kupewa kila kitu wanacho taka. Kwenye vitu vya kwao basi ni vya zanzibar tu vya bara ni vya wote. Hivi umeme wa zanibar unatoka wapi? Si bara? basi nasisi tuseme umeme wakwetu? Ukweli ni kwamba muungano can be a beautiful thing but if one side doesn't want it hata kama stratigically muungano ni muhimu vipi ni bora tuachane. Hata kwenye ndoa mmoja akingangania divorce au sijui afanye mambo yake mwenyewe basi ndoa ita vunjika. The yes or no uestion I have for zanzibar is MNATAKA MUUNGANO YES OR NO? Kama mnautaka basi lets be adults tutafakari cha kufanya kama hamtaki kueni direct siyo kulete mambo ya chini chini.
Maslahi tu binafsi ya kisiasa hapa!
Watu wanatafuta vyeo vya kisiasa hapa!
Joka wacha kukurupuka aliesema ni Kiongozi Mwandamizi katika Ofisi ya WaZiri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (CCM) akiwasemea wananchi ,hili si la CUF au CCM ni la WaZanzibari wote na ndio kama unavyoona hata Waziri kiongozi alikuwa awepo lakini akaambiwa akae pembeni zamu yao bado...kama CUF wako serious hawataki Muungano basi ni vizuri hizi hoja zao wakazizungumzia ndani ya Bunge la Muungano.
..sasa hivi kuna kikao cha Bunge kinaendelea sasa tunasubiri kusikia CUF wakileta hoja ya kuvunja Muungano, au kuunda serikali ya Tanganyika.
Mwiba said:Joka wacha kukurupuka aliesema ni Kiongozi Mwandamizi katika Ofisi ya WaZiri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (CCM) akiwasemea wananchi ,hili si la CUF au CCM ni la WaZanzibari wote na ndio kama unavyoona hata Waziri kiongozi alikuwa awepo lakini akaambiwa akae pembeni zamu yao bado.
Kashkash za CUF hamziwezi msitafute kuita majeshi na mapolisi bure.
Basi waondoke. Nani kawazuia?wabara ndio wanaoungangania huu muungano Zanzibar hawautaki
Basi waondoke. Nani kawazuia?
wabara ndio wanaoungangania huu muungano Zanzibar hawautaki
Basi waondoke. Nani kawazuia?