Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
mkuu sasa kama hizo nyufa hazizibiki na zaidi sana zinaongezekaNikurekebisha tu, kufutilia mbali sio vyema
Hii wala sio Ndoa ya kikristo, maana kuna Karume na nyerere waasisi wenyewe tayari kuna hitilafu hapo, karume ruksa nyerere no. Mie naona kuulinda ni kuufanyia marekebesho ya makusudi tu. tupige referendum serikali moja au tatu na hii ya pili utashinda. maana moja wanamapinduzi hawakubali.Ndoa ya kikristo haivunjikagi mkuu
mm naona viroba tu ndio vina kusumbua. Zanzibar wamepoteza kila kitu na Tanganyika hawajapoteza chochote zaidi ya jina tu kutokaTanganyika kuwa Tanzania kama liko walilopoteza naomba ututajiye Please.Tunahitaji kutafakari sana kwa hili, Mzee wetu aliwahi kusema kuwa muungano umesaidia usalama kwa bara.
Kwa sasa jama hawa mamwinyi wana kila kitu chao kuanzia bendera, wimbo, rais, na mambo mengine mengi. In Short if we were to vote today then i would vote for a big NO. na sitabadili huu msimamo. Tuachane nao tu manake maandamano kibao hasa ule ugonvi wa deposits za mafuta yalogunduliwa. Katika bajeti ya taifa nadhani wanapata mgao mara mbili kutoka muunganoni na mapinduzini!
atakuwa raisi wa Tanzania kwani simumebadilisha jina lenu kutoka Tanganyika kuwa tanzaniaUnachoongea hata mimi nilikiafiki tatizo ni wanasiasa mf leo hii ni rais wa tz; Leo tz ikifa, atakuwa rais wa nchi ipi?
Rais wa zenj ataendelea kuwa rais wa zenj kwa sababu zenj ipo hapo ndipo wenzetu walipojitambua
Unaona ilivyo kaa vibaya hiyo
UFUMBUZI NI KATIBA MPYA.