Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

wlikuja wakongo kununuwa ijekuwa watu pori watanganyika let au goooo

kama watanganyika ni watu pori je ninyi tuwaitaje watu wasio na shukrani? Je jamhuri ya watu wa zanzibar ilikuwa na umri wa miaka mingap kabla hamjaporwa na mtu pori wew mshamba sana hujui watanganyika. kama ni mtu pori alikuingizeje mkenge mpaka unalilia. una kichwa kama cha kuku kweli.
 
Umeshasema "madaraka ya Rais wa Jamhuri wa Muungano". Hapo kinachokusumbuwa ni nini? Ni nani alikwambia kuwa kutakuwa na Marais watatu?

Isitoshe, kwani hivi sasa Rais wa Muungano wa Tanzania akitangaza hali ya hatari Rais wa Zanzibar anaweza kupinga? Mawee!

Kumbuka kuwa hata ikitokea kukawa na Marais watatu, bado Rais wa Muungano hatatangaza hali. Ya hatari bila kushauriana na washauri wake wa karibu, na hao Marais wasio wa Muungano ndio watakuwa kati ya washauri wake muhimu. Kwa hiyo kila maamuzi yanaihusu nchi ni lazima washauriane kwanza ingawa yeye ndiye mwenye madaraka ya kutangaza hali ya hatari kwa nchi.

Elewa kuwa Urais ni taasisi.
 
watanganyika wengi hawana uelewa wa mambo ya muungano wala hawajui dunia inaendaje. muungano ukivunjika cyo kwamba waznz wataambiwa rudin kwenu,kutakuepo na sheria na wao wakiweza kuishi km wageni watakaa na wakishindwa watasepa. wengi wa watanganyika wanataka znz itawaliwe na tanganyika ndo muungano utakuwa salama, hilo msaau.watanganyika weng wanamuabudu nyerere km mungu, eti ukivunjika muungano wapemba na waunguja watatengana, hilo msahau, waznz wote ni ndugu na wanaunganishwa na uislam, ni vitisho vya laanatullah nyerere akiwatisha ccm wa zenj aendelee kuwatawala, watanganyika wana chuki kubwa na uislam ndo tatizo liliopo, km mna akili za kutosha msililizeni tundu lissu anaongea nn kuhusu muungano ndo mje mlete utumbo weni humu.
 
That's true, that's why I'm sayin let's cut them loose, I don't need this union, do you? It's only a bunch of moron politician.
I heard these guys has a huge stake in US decision making, is it right ....!?
 
Kwani nyerere alipoizika tanganyika hajavunja muungano?

Kweli huna akili wewe kuzika tanganyika ndio lengo na zanzibar ilikuwa kwenye hatua ya kuwa mkoa kumbe muungano maana yake basi?
 
watanganyika wengi hawana uelewa wa mambo ya muungano wala hawajui dunia inaendaje. muungano ukivunjika cyo kwamba waznz wataambiwa rudin kwenu,kutakuepo na sheria na wao wakiweza kuishi km wageni watakaa na wakishindwa watasepa. wengi wa watanganyika wanataka znz itawaliwe na tanganyika ndo muungano utakuwa salama, hilo msaau.watanganyika weng wanamuabudu nyerere km mungu, eti ukivunjika muungano wapemba na waunguja watatengana, hilo msahau, waznz wote ni ndugu na wanaunganishwa na uislam, ni vitisho vya laanatullah nyerere akiwatisha ccm wa zenj aendelee kuwatawala, watanganyika wana chuki kubwa na uislam ndo tatizo liliopo, km mna akili za kutosha msililizeni tundu lissu anaongea nn kuhusu muungano ndo mje mlete utumbo weni humu.
.

jamhuri ya watu wa zanzibar ilikuwa kama nchi kwa miaka mingapi alafu ndipo utajua sisi watanganyika tunachosema tunajua sio nyie na udini wenu mpaka umewapofusha wala hamwezi kufikiri vizuri. Eti sisi ni wamoja wakati wa mchakato wa kukusanya maoni wapemba hajadai nchi yao? kwamba kuwe na jamhuri ya pemba wewe unatoka wap kasome historia yako kwanza sio kwamba unakurupuka kama mtu aliyetoka usingizini.
 
Umeshasema "madaraka ya Rais wa Jamhuri wa Muungano". Hapo kinachokusumbuwa ni nini? Ni nani alikwambia kuwa kutakuwa na Marais watatu?

Isitoshe, kwani hivi sasa Rais wa Muungano wa Tanzania akitangaza hali ya hatari Rais wa Zanzibar anaweza kupinga? Mawee!

Kumbuka kuwa hata ikitokea kukawa na Marais watatu, bado Rais wa Muungano hatatangaza hali. Ya hatari bila kushauriana na washauri wake wa karibu, na hao Marais wasio wa Muungano ndio watakuwa kati ya washauri wake muhimu. Kwa hiyo kila maamuzi yanaihusu nchi ni lazima washauriane kwanza ingawa yeye ndiye mwenye madaraka ya kutangaza hali ya hatari kwa nchi.

Elewa kuwa Urais ni taasisi.

kwa katiba sasa hauna shida maana hali ya hatari ni moja ya mambo ya muungano ila kwa sasa kipengele hiyo imeondolewa ila kwenye madaraka ya rais ipo kwenye mambo ya muungano haipo upo mpaka hapo.

Hivi sasa anapinga maana kuna kipengele katika katiba ya zanziba inasema maamuzi itayopitishwa na serikali ya muungano lazima ipitiwe na baraza la mapinduzi kabla ya kutekelezwa.
 
kama watanganyika ni watu pori je ninyi tuwaitaje watu wasio na shukrani? Je jamhuri ya watu wa zanzibar ilikuwa na umri wa miaka mingap kabla hamjaporwa na mtu pori wew mshamba sana hujui watanganyika. kama ni mtu pori alikuingizeje mkenge mpaka unalilia. una kichwa kama cha kuku kweli.

Hata kama ilidumu kwa masaa 24 dunia nzima ilitambua uwepo wa JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR...!! labda hao WATU PORI wa Tanganyika ndio wasiolijua hilo, wanahisi Zanzibar kama ni mali ya bwana wao Nyerere!! shenz yule!!
 
Hivi hawa watanganyika waliwahi kupewa kiti pale UN?coz huziona picha za kiti cha zanzibr tu.
 
Kweli huna akili wewe kuzika tanganyika ndio lengo na zanzibar ilikuwa kwenye hatua ya kuwa mkoa kumbe muungano maana yake basi?

kama hilo ndio lengo, basi tushawatia JITI la makalio tokea hizo zama za babu yenu Nyerere, maana Zanzibar kuwa mkoa kwa sasa never haiwezekani na kama kuna Watanganyika wana ndoto hizzo wazisahau kabissa maana limemshinda Nyerere mtaliweza wehu nyie kutwa mnashinda bar?
 
mimi nimetoa kitu kitakachokea ila faida ya muungano utaiona siku muungano ukivunjika kama wewe wazenji watapata ndio wataopata shida zaidi itakuwa kama urusi na jimbo la cremia kutaka kujiuunga na urusi maana angalia ukubwa wa tanganyika na zanzibar kibiashara wataathirika sana sidhani kama chakula watajiweza wasije tanganyika mpakani lazima watozwe sawasawa.

hapo nilipoweka bold.,kweli wewe unatumia ma------.., unadhani chakula kitakuwa shda kwenye kisiwa wao wataexempt tax kwenye importation ya chakula so tutakaohangaika kuwapelekea chakula ni sisi coz kutakuwa na market na pia kumbuka wanapenda sana kununua india na Thailand.., then kaa ukijua bidhaa kama sukari Tanzania unanunua 2000 per kg while ukiagiza kutoka brazil wakalipia tu port charges na import tax unaweza ukanunua 1kg kwa 1200 tena retail price hiyo na ni akili ya kitoto kuikomoa Zanzibar kupandisha kodi kwa vtu vnavyoenda Zanzibar., Tanganyika tuna umaskini wa kujitakia.., wakenya wanakuja kwetu kuchukua raw materials kama chai na maidi wanaenda kuprocess wao kwenye vwanda vyao wanauza nje na kujitangaza kuwa kila kitu asili yake Kenya,.. so hata Zanzibar wanaweza kujenga vwanda na raw materials wakafuata huku coz ni karibu mno,, na pia sisi we can do mambo mengi bila kutegemea muungano so sioni sababu za watu wa Tanganyika kuwang'ang'ania watu wanamtukana shujaa wetu nyerere wakimwita aliyelaaniwa.., for sure its time to time to start processes of ending this union ili tuheshimiane
 
.

jamhuri ya watu wa zanzibar ilikuwa kama nchi kwa miaka mingapi alafu ndipo utajua sisi watanganyika tunachosema tunajua sio nyie na udini wenu mpaka umewapofusha wala hamwezi kufikiri vizuri. Eti sisi ni wamoja wakati wa mchakato wa kukusanya maoni wapemba hajadai nchi yao? kwamba kuwe na jamhuri ya pemba wewe unatoka wap kasome historia yako kwanza sio kwamba unakurupuka kama mtu aliyetoka usingizini.

Kwani Umoja wa Wazanzibar unakuhusu nn wew mtu wa Nyika...!! kila cku tunawambien kwamb Migogoro ya Wazanzibar ni wao wenyew ndio waamuzi wa mwisho, na hili ndilo linalo wauma Watu Pori kutoka Tanganyika, maana kwao hawapend kuona Zanzibar ipo salam, ndio kila siku haweshi fitina na choko choka zao, na siku izi wanaanza kututegea vijibomu kweny miji yetu ili watutangazie ubaya, lakin hawajui kwamb Zanzibar ni kama bahari hata Mukiichafua haichafuki, huku jibba la roho hatulitoi hadi muiteme Zanzibar yetu!!
 
mimi nimetoa kitu kitakachokea ila faida ya muungano utaiona siku muungano ukivunjika kama wewe wazenji watapata ndio wataopata shida zaidi itakuwa kama urusi na jimbo la cremia kutaka kujiuunga na urusi maana angalia ukubwa wa tanganyika na zanzibar kibiashara wataathirika sana sidhani kama chakula watajiweza wasije tanganyika mpakani lazima watozwe sawasawa.

unaongea kama vile upo kwenye kijiwe cha kahawa., kama mulikuwa munawapa chakula Zanzibar katisheni huo msaada ili tufe njaa
 
Very good words je katiba ya zanzibar wataifanyaje maana iko juu ya katiba ya muungano.
Katiba ya Zanzibar haina matatizo isipokuwa Watanganyika ndio wenye matatizo. Niambie Kwa kubadilishwa Katiba ya Zanzibar, Watanganyika imewaathiri nini? Tafadhali niambie kilichozidi au kupungua upande wenu tangu hiyo katiba ibadilishwe?

Alafu muungano asili Sasa yake ni watu wa maeneo yanayoungana mwanzoni hakukuwa na shida mpaka hivi karibuni lakini viongozi wa zanzibar walipotaka na wao wawe wanaenda umoja wa mataifa na kutembelea nchi mbalimbali dunian kama anavyofanya kikwete wakaanza kuwashawishi wazanzibar na wakashawishika.
Wewe unajuwa asili ya muungano? Mwanzo wa muungano tukitaka kuja Tanganyika basi lazima tuombe paspoti na hakuna kinachoenda au kurudi pande mbili hizi. Rais wa Zanzibar akiongoza mwenyewe vikosi vya ulinzi vilivyoko Zanzibar. Ilikuwa wahalifu wa Zanzibar wanafanya maficho huko Tanganyika. Nyerere alikuwapo na chama kilikuwepo lakini hawakusema nyoko!
Sasa nieleze cha ajabu nini kuwepo mabadiliko katika mfumo wa muungano iwapo hauwafai Wazanzibari?

maana ukiangalia kwa makini wazenji hawabughudhiwi hapa tanganyika wanafanya kila kitu wanavyotaka ila sio watanganyika zanzibar wanatunyanyasa na hii imekuja baada ya kuaminishwa na viongozi kwamba hao ndio waliotusababishia umaskini.Ebu Angalia wanapanga bajeti yao wenyewe hakuna anayewaingilia wana bunge lao hakuna anayewaingilia je umaskini wao sisi watanganyika tunausababishaje?
Ulishawahi kufika Zanzibar? Kama kweli Watanganyika wananyanyaswa wangejaa wamachinga kule? Mbona tunaishi nao vizuri Watanganyika? Laiti ungejuwa maana ya Uzanzibari basi ungefahamu kuwa malalamiko hayo ni ya uongo. Tatizo ni kuwa kuna Watanganyika wenye kuleta mambo yasiyofaa kwa jamii na hawa ndio wanaolalamika kunyanyaswa. Nafikiri hao unaowaita Wazenj wangekuwa na tabia inayokera basi wasingeishi kwa raha na kukubalika.

Yaani ikifika hapo utajua kwamba madai yao hayana mashiko kama kuna lingine ebu mtufumbue sisi watanganyika tunawasabishaje maskini wa wazenji?
ri kutawaliwa
Hayana mshiko kwa namna gani? Kwani wewe uko tayari kuwa koloni eti mkoloni anakuruhusu kuishi nchini kwake huku akiendelea kukuita kwa kabila lako jambo linaloashiria kuwa wewe ni muhamiaji tu. Tanganyika inadhibiti Zanzibar huku ikijidai kuwa inatowa uhuru kwa Wazanzibari lakini bado wanawachukulia ni wageni na iko siku wanaweza wakawimndwa wote na kufukuzwa.
 
Hapana ndugu yangu kama wewe ni mhehe utakuwa mhehe je alishashambuliwa mtu huku tanganyika eti ni mluguru au mchaga au mpemba ila ukienda zanzibar wao wako wazi hawatupendi mpaka wanasema mwislamu wa tanganyika si mwislamu kamili umeshaona comred hao wazenj wana mambo ya ajabu sana

Nafikiri unakubaliana na mie. Hatujaona Mhehe au mchga kutajwa lakini Mpemba na Muhindi na Mwarabu wamekuwa wakitajwa kila wakati. Hivi sasa kwenye mjadala tunafanya hivyo wakati huko Tanganyika kumekuwepo na ugomvi mkubwa wa wahamiaji, sio kutoka Pemba bali kutoka huko huko hilo hulioni kuwa ni tatizo unaliona tatizo kutajwa Mtanganyika mkorofi. Laiti ungekwenda Zanzibar ukaona 'Wabongo' (ndivyo wanavyoitwa) wanavyoishi kwa salama na amani.
 
Mimi nawashangaa sana nyie wabara. Hivo mawazo yenu ni kufukuzwa. Kwanini wachagga na wanyamwezi wasirudi kwao?. Kwani hii Tanganyika ni ya nani?. Huu muungano ni muungano wa watu wawili. Hii Tanganyika ni ya mataifa au makabila mengi na kila kabila lina mji wake.
Maana ya Dar es salaam ni nini?.
Maana ya Msasani ni nini?.
Huko Bwaga moyo ni kwa nani?.
Acheni fitina za mchana kama hamujui historia ya mtanganyika ni nani acheni upuuzi. Soote tuna haki ya kuishi kama muungano upo au haupo. Muungano umekuja kiholela holela lakini udugu wetu ni wa zamzni mno.
 
How?

Muungano unalinda usalama kivipi?

Mmetukaribishaje wakati haturuhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar kisheria?
Taso,

Kwanini mlikataa kutia saini mkataba wa utengamano wa EAU (EAC) sababu hamtaki wanyaruwanda, wakenya na waganda na warundi wasimiliki ardhi Tanzania?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom