Muungano wa Vyama 14 vya Siasa kuongea na vyombo vya Habari

Muungano wa Vyama 14 vya Siasa kuongea na vyombo vya Habari

Leo wataongea na vyombo vya Habari

View attachment 2395271

23 OCTOBER 2022
WAJUMBE 30 KUTOKA VYAMA 14 , WADAI CHADEMA WANA BAHATI SANA KTK SIASA ...


Kutafuta suluhu miongoni mwa wadau wa siasa za vyama vingi, wazungumzia wivu na choyo ya baadhi ya wanasiasa. Mgawanyo wa ruzuku, .... wakishutumu chama kikuu cha upinzani ... mgogoro wa Polisi na vyama vingi kuhusu mikutano ya hadhara sheria za vyama vingi na sheria za Polisi zinatakiwa kuhuishwa zisisuguane, CCM wanapata shilingi bilioni 2 kama ruzuku .... ripoti ya Kikosi Kazi idurufiwe na kusambazwa kwa umma ..

Wafuatao kutoka vyama 14 walikuwapo katika meza kuu kutoa tamko baada ya kikosi kazi kukabidhi ripoti kwa mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania :
  1. ADA -TADEA - Zaituni Hokororo, Salehe Msumari
  2. CCK - David Majebele
  3. DP - Felix Makua, Asha Chuma
  4. UDP - Paulo Makulu
  5. UDPD - Twalib Kadege
  6. AAFP - Rashid Rai
  7. UMD - Halfani Mazrui
  8. SAU - Betha Mpata, Majaliwa P. Kyara,
  9. TLP - Richard Lyimo
  10. NRA - Mohamed Majaliwa
  11. NLD -Tozi Matangwa
  12. DEMOKRASIA MAKINI - Mohamed Abdullah
  13. ADC - Doyo Hassan Doyo
  14. ???


Source : MWANAHALISI TV
 
Vyama vya upinzani vya mchongo..hao wote ni vibaraka wa kijani katika maigizo ya demokrasia nchini..wakati ni upuuzi mtupu.

Nitasikiliza kama wangekuwepo na CDM.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wamekosa siku nyingine ya kuongea na watu hadi iwe siku ya jumapili!!!
 
Kweli hii ndo 'Wagawe uwatawale'. Kama sio kupotezeana focus ni Nini.! Vyama vyote hivyo alfu eti Kila mtu anataka kushika madaraka. Kilichopo ni kuendelea kutengeneza nafasi Kwa Chama kimoja kusalia madarakani daima.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hivi ndio vyama, sio chama kinaendeshwa na mtu mmoja akishapiga faru John basi wote mnafata
 
Nadhani Sasa Tanzania turuhusu coaliation parties. Ili tujue vyama vipi vinaiunga mkono CCM Hadi kwenye uchaguzi. Sio huu unafiki wa kujiita vyama vya upinzani wakati kazi yenu ni kuisifia CCM na serikali yake kuliko hata shaka mwenyewe.
 
Nadhani Sasa Tanzania turuhusu coaliation parties. Ili tujue vyama vipi vinaiunga mkono CCM Hadi kwenye uchaguzi. Sio huu unafiki wa kujiita vyama vya upinzani wakati kazi yenu ni kuisifia CCM na serikali yake kuliko hata shaka mwenyewe.
Eti vyama vya upinzani Kila mmoja akisimama anasema kazi iendelee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
... wameongea nini hao wasaliti?
"Kimsingi tumeshangazwa na viongozi wa kisiasa na moja ya chama cha siasa kupinga ripoti ya kikosi kazi kilichoundwa na Mhe. Rais @SuluhuSamia, sidhani kama kupinga kule ni kauli ya chama, kwa tunavyofahamu tamko la chama linatokana na vikao vya chama" @BulenduDotto
 
Back
Top Bottom