johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makolo chali LeoMechi ya SIMBA na UTO
😁😁Vyama shikizi kazini
Spana za Mnyika zimewatoa Shaka na washirika wake.Kuna nini jamani?
Sukuma gang mnapelekewa moto na maza,mmebaki kuweweseka tu.Chadema kama kawaida yao wanaendekeza utukutu.
Labda alitaka kumjibu Zitto Kabwe kuhusu Bima ya AfyaSpana za Mnyika zimewatoa Shaka na washirika wake.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai....na huu ugumu wa maisha. Wacha watu waangalie shibe yao kwanzaInaweza kuwa ni hadaa nyingine dhidi ya Wananchi.
Ngoja tuone.
Mechi ya makolo na utopoloMechi ya SIMBA na UTO
Hahaha.......hata CCM inamtegemea mtu mmojaHivi ndio vyama, sio chama kinaendeshwa na mtu mmoja akishapiga faru John basi wote mnafata
Eti vyama vya upinzani Kila mmoja akisimama anasema kazi iendelee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani Sasa Tanzania turuhusu coaliation parties. Ili tujue vyama vipi vinaiunga mkono CCM Hadi kwenye uchaguzi. Sio huu unafiki wa kujiita vyama vya upinzani wakati kazi yenu ni kuisifia CCM na serikali yake kuliko hata shaka mwenyewe.
"Kimsingi tumeshangazwa na viongozi wa kisiasa na moja ya chama cha siasa kupinga ripoti ya kikosi kazi kilichoundwa na Mhe. Rais @SuluhuSamia, sidhani kama kupinga kule ni kauli ya chama, kwa tunavyofahamu tamko la chama linatokana na vikao vya chama" @BulenduDotto... wameongea nini hao wasaliti?