Muungano wa Vyama 14 vya Siasa kuongea na vyombo vya Habari

Hii sanaa wanayofanya CCM mbona imeshapitwa na wakati. Kuwakodi hawa vibaka ambao katika uhai wa vyama vyao hawajawahi kupata hata Mwenyekiti wa kitongoji kuja kuishambulia Chadema ni ushamba uliokithiri.
 
Hakuna kitu hapo. Wanaonekana wamepigika njaa kuanzia kwenye nyayo zao hadi utosini mwao.
Ovyooooooo kabisa.
 
Jogoo atataga mayai mwaka huu
 
CDM kwa aina yao ya siasa ndio kinaifanya CCM isiweze kulala, na kwa kiasi kikubwa kinaifanya CCM izidi kutumia vyombo vya dola, maana nje ya vyombo vya ni lazima ipotee kama KANU ya Kenya. Ni Mbowe tu alizengua kwa kwenda ikulu kupoteza muda.
Ila kwa mazingira yale ya kutolewa gerezani chini ya ulinzi mkali kisha kuambiwa Mh Rais ana mazungumzo muhimu nawe Ikulu. Lazima ungeenda hata kama ungekuwa wewe.
 
Nadhani Sasa Tanzania turuhusu coaliation parties. Ili tujue vyama vipi vinaiunga mkono CCM Hadi kwenye uchaguzi. Sio huu unafiki wa kujiita vyama vya upinzani wakati kazi yenu ni kuisifia CCM na serikali yake kuliko hata shaka mwenyewe.
Kwani tofauti ya "coalition' ipo wapi hapo mkuu 'econonist'; kwani hawa hawapo kwenye 'coalion' na CCM, au kwa vile wanajitambulisha kwa "jina la vyama vya upinzani"?

Hawa wapo kwenye muungano na chama tawala, na maslahi yao yanatokana na CCM. Wanachoshindwa wao kudai ni haki ya kuwa ndani ya serikali, yaani wapewe vyeo huko kama washiriki tu bas!

Hapana, hata katika hilo nadhani sipo sahihi kwa sababu nimemkumbuka yule mama Queen Sendinga, na mwenzake marehemu Mgwira.
Kabwe (Zitto) anajitahidi sana huenda karibuni akateuliwa huko.

Kwa hiyo "coalition" tayari tunayo inafanya kazi, ila washirika wake ndio bado hawapeani haki sahihi kwa ushirika wao.
 
Ila kwa mazingira yale ya kutolewa gerezani chini ya ulinzi mkali kisha kuambiwa Mh Rais ana mazungumzo muhimu nawe Ikulu. Lazima ungeenda hata kama ungekuwa wewe.
Kwa nini iwe "lazima"?
Inawezekana sana hapa ndipo Mbowe alipopotezea 'step', lakini si jambo zito la kumpotezea dira nzima ya uamini wake na uamzi wa yapi yanayofaa kwa chama chake.
 
CHADEMA Wana akili sana kuliko chama chochote hapa Tanza-nia, acha ukweli usemwe
 
Njaa haijawahi kumuacha mtu salama,hivi vyama ni uchafu tu havina hata diwani,kazi yao ni kuunga mkono juhudi za ccm Ili wapewe pesa za kuendeshea maisha,njaa mbaya sana.
 
Ila kwa mazingira yale ya kutolewa gerezani chini ya ulinzi mkali kisha kuambiwa Mh Rais ana mazungumzo muhimu nawe Ikulu. Lazima ungeenda hata kama ungekuwa wewe.

Angefika na asiongee lolote. Tumeona watu wakisusia hadi kula, itakuwa chini ya ulinzi mkali?
 

Nimekuelewa mkuu
 
In short and brief, kwa akili yako katika situation hili, unaweza kutuambia;

✓ Ni nani kati CHADEMA na hivyo vyama 14 vya msimu wa uchaguzi haitaki kuungana na mwenzake..?

✓ Kimantiki, unadhani hao hapo waliofanya PC hiyo leo walikuwa wakiwakilisha vyama vilivyo nje ya serikali (upinzani) au vilikuwa vinasaidia kusukuma mbele mikakati na hila za CCM ambayo naona na wewe kama unatamani iondolewe madarakani...?

Hebu jibu maswali hayo kama umeelewa...
 
Msafara wa nyani na tumbili wamo.
Hawa ni wale wafuasi wa Ccm kwa pazia la upinzani.
Ndio maana yule muimba mapambio ya Mama ameahirisha mkutano wake na waandishi?? Kawapa hawa makapi wakaingee kwa niaba ya Ccm
Humo ACT hawakosi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…