Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Muislamu hata aelimike vipi linapokuja swala la udini hisia hua zinafunika maamuzi
 
Kama kuvaa vazi la hijab, kufunga Ramadhan, kusoma somo la dini ya kiislam na lugha ya kiarabu ni miongozo ya Wizara katika kuendesha shule basi kuna shida mahali fulani😳
 
Kwani wanajitungia wao mtihani wa taifa? Na hao Waislmu wamekosa shule zao mpka waende kwa wanaowaita makqwafir au ndo baniani mbya kiatu chake daawah,

ila watajuana wenyewe
Mkuu ukisema hao waislam hawajaona shule zingine nami ntakwambia kwani huyo muwekezaji hajaona sehemu zingine za kuwekeza hadi aende znz
 
Mkuu mbona unaangalia ulipoangukia na sio ulipojikwaa? Huyo muwekezaji alipewa masharti ya kuwekeza na akayakubali kwanini ayageuke? Aje bara awekeze mbona manafasi yapo ya kutosha? Muwekezaji afate sheria za znz zinavyotaka
 
Hata huyo muwekezaji hajalazimishwa kuwekeza hapo
 
Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imejitambulisha haina dini, ila msingi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar unaviashiria kuwa una dini nayo ni uislamu hivyo ni kukubaliana na hali ukiwa ktk ardhi yao. When you are in Rome do what Romans do!
Shoti endi klia mkuu, hao wagalatia wameenda kwa watu walazimisha yao
 
Kabla ya mtoto kujiunga na shule kuna sheria za shule anapewa na anasign yeye pamoja na mzazi kukubaliana nazo, sasa kama sheria huziwezi si unamuhamisha mtoto wako shule nyingine, iweje ukubaliane na sheria, halafu baadae uje kugeuka?
Hata huyo muwekezaji kageuka sheria za znz? Au hujasoma mada? Kosa alilifanya yeye kukubali masharti ya kuwekeza znz
 
Hii dini ya wavaa majuba ni shida Sana, wao wanataka kila mtu awe kama wao,
Hawaamini wala kuheshim Iman za wengine.
Kwenye kila kitu kinacho husu Imani wao ndio hujiona bora kuliko wengine.

Mfano =kwenye kuchinja wachinje wao hata kama kuku ni wako we ukichinja we yeye Hari

Kwenye kuoa wao ikitokea kataka kuoa mkristo husema mwanamke Hana dini Sasa nenda wew kaoe muislam uone.

Kuna matukio mengi Sana.

Unapo dharau Imani ya wengine we ndio chanzo cha migogoro.
 
Kwani shule za kiseminary si zipo kwanini wasipeleke huko watoto wao wanakofundisha kiarabu? Mzazi akipeleka mtoto si anapewa utaratibu wa shule sasa nini tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnajitia upofu wa kishamba? Huyo muwekezaji si alipewa masharti ya zanzibar? Kwanini aliyakubali halafu sasahivi anayageuka?
 
Sasa kwanini huyo muwekezaji hataki kufata sheria za znz wakati kavuka maji
 
Serikali ndio yenye udini hasa angalia viongozi wa serikali walichosema watoto wa kiislamu wafundishwe kurani,kiarabu na kuswali !!!! Imagine!!!!
Yeye mwenye shule alianza kulazimisha waislam wasome ugalatia watu wamejibu matokeo yake waliojibu ndio mnaona wadini
 
Siku zote nawaona wazinzibar kama mapunguani fulani bado wana hulka za kishamba za uarabu ( ubaguzi) siwapendi kutoka moyoni
Kama walivyo wakristo siwapendi toka moyoni wana ushamba mwingi sana
 
Kama kuvaa vazi la hijab, kufunga Ramadhan, kusoma somo la dini ya kiislam na lugha ya kiarabu ni miongozo ya Wizara katika kuendesha shule basi kuna shida mahali fulani😳
Umeyaona hayo tu? Ila mmiliki kulazimisha waislam wasome ukristo kwako poa eeh? Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaloga?
 
Brow zanzbar masomo ya dini na kiarabu sio somo la ziada ni somo kama unavyosoma wewe biology usidandie baskeli kwa mbele umeambiwa shule imefungiwa kisa hajafata sheria za serikali za znz
 
HATA HIKO KICHWA CHA HABARI KIMEKAA KIUCHONGANISHAI usitake kuzua jambo ambalo halipo kama kashindwa kufata sheria serikali ni wajibu wake kumuadabisha
 
Afisa elimu wa mjini magharibi AMOS JOHN nae amepigilia msumali wa moto kwa maana ya wengi wape!hatari sana hii ndiyo Tanzania ya sasa.
 
Yani lawama za kijinga, uislamu ulipoteana pale baghad ilipovamiwa na mongol. kwasasa hivi imejaa mafanatics tuu
 
Kwani wamelazimishwa kupeleka watoto pale, sijaona sababu nzito hapo...Wewe ukitaka mtoto wako avae hijab, peleka shule zinazovaa hijab..
Hao jamaa hawana maadili yoyote ukichunguza sana ibada yao ni utamaduni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…