Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imejitambulisha haina dini, ila msingi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar unaviashiria kuwa una dini nayo ni uislamu hivyo ni kukubaliana na hali ukiwa ktk ardhi yao. When you are in Rome do what Romans do!
Basi wafungie na mahotel ya kitalii ; watu wapo uchi fukweni....si wanataka maadili ya dini?
 
Zanzibar kuna ust-Arabu hivyo wasiotaka kufuata masharti ya shule hiyo wasikanyage hapo kwani hawaoni shule za Arabu?

Kweli kabisa mzehe

Waarabu washukuriwe sana, wametuletea ustaarabu. Hao wasiopenda ustaarabu waende shule zao
 
Nchi ya Zanzibar ipo na Ina miongozo yake, Tanganyika inajifanya haipo.Kuna umuhimu wa kuwa na serikali tatu kuliko huu unafiki unaoendelea
 
Wanzanzibari wenyewe hawapendi shule, hivi kweli mtu anaenda shule afundishwe kiarabu, uislamu si akajifunze akitoka shule ama likizo?ndio maana wanafeli Sana kwa kuendekeza ujinga wao
 
Siku zote nawaona wazinzibar kama mapunguani fulani bado wana hulka za kishamba za uarabu ( ubaguzi) siwapendi kutoka moyoni
Na wao ndo kabisaa hawataki ata kukuoneni
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
Peleka matacle uko mbwa wewe..
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
wazungu wanatembea vichupi Zanzibar mmeshindwa kuhangaika nao mnahangaika na shule,pointless
 
Shule yenyewe ya kikristo hiyo....wanafunzi wa kiislamu wamepelekwa huko ili iweje?
 
Kuna siku lazima Tanganyika ijitegemee tu, Wazanzibar bara wamejaa sehemu zote na hatuna ubaguzi wowote kwa sababu tunaona ni waTanzania wote!

Inakuwaje Raisi wa Tanzania anatoka sehemu zote lakini wa Zanzibar anatoka Zanzibar tu?

Makamu vile vile na mawaziri pia.
Nini manufaa ya haya?
Watu 58ml wanataka usawa na watu 1.4ml?

Hawa watu wametuvaa sawa sawa, huko tuendako lazima kila mmoja abebe fito zake.
Kujaa kwao huko bara wamevunja sheria ipi mkuu
 
Kinachosumbua hapo ni udini

Sekta ya elimu inatakiwa kuwa huru mfano Tanzania bara ni hiari ya shule kufundisha masomo ya Dini au kuyaacha kabisa.

Za private ziko Muslim schools na Christian schools.

Mtu alienda Muslim schools anakutana na ya kiislamu kibao kuanzia kuvaa hizo hijabu nk akienda Christian schools atasali kikristo nk Na wazazi huridhika

Zanzibar hicho kinafanyika ni kutaka kulazimisha mwenye Shule ageuze shule kwa lazima iwe Muslim school

Zanzibar mbona Muslim schools ziko kibao wazazi wapeleke watoto wao huko huo ni ukorofi usio na sababu mtu kafungua Christian school yake kwa Nini umkomalie kuwa lazima iwe Muslim school.

Hii ichukuliwe kama kero ya muungano.Ichukuliwe wazi kabisa kuwa huyo mwenye shule ananyanyaswa kidini

Raisi Mwinyi aingilie kati Hilo swala haraka
Samahani naomba kuelewa hivi suala la elimu msingi kidato cha 1-4 halipo ktk Muungano? Na je kama halipo kwanini kipindi fulani Dr. J. Ndalichako alifungia shule za Zanzibar kwa sababu ya udanganyifu? Hili suala sikulielewaga vizuri yoyote mwenye uelewa anijuze tafadhari.
 
Back
Top Bottom