Hivi Tanganyika inanufaika na nini Na Zanzibar hadi kuendelea kuwabeba hawa Watu?
Inaonekana mambo ya Tanganyika Ndio mambo ya Muungano na Mambo ya Zanzibar ni mambo ya Zanzibar!!!!
Inakuaje watu kutoka Tanganyika wamepigwa marufuku kufanya kazi Serikali ya Zanzibar ili hali wazanzibar ni wamejazana huku Tanganyika hadi Kuziba Ridhiki zetu...
Watanganyika tuache kuona kila jambo alilofanya Nyerere ni Hazina ili hali na yeye ni Mtu...
Hata Vitabu vya dini vinatutaka Kuhoji kila kitu...
Hofu yangu sasa hivi ni pale atakapoteuliwa Mkuu wa Majeshi, Intelligence, Police na Prisons kutoka Zanzibar ndipo tutakapo ita maji Mma!!
Mimi naona Bora watanganyika nao waanze tu Kuwabagua wazanzibar kama wao was anavyotubagua sisi!
Hawa watu wanabenefit sana na hili limungano
Hata loans chuo yanapata kotekote Heslb yakiomba yanapewa na kule Zanzibar yanapewa!
Kuna jamaa nimesoma nae alikuwa Loan beneficiary’ wa Bodi zote aghaaa!!
Watanganyika tuwe makini